YANGA YAJIWEKA MGUU SAWA KUKIMBIZA DAKIKA ZOTE 90
HomeMichezo

YANGA YAJIWEKA MGUU SAWA KUKIMBIZA DAKIKA ZOTE 90

  K AIMU  Kocha Mkuu wa  Yanga, Juma Mwambusi,  amesema kwa mwendo wa  mazoezi wanayofanya wachezaji  wake, anaamini kwamba kwenye  mechi ...

KLOOP:TUNAPITA KWENYE MATESO MAKUBWA NDANI YA UWANJA
MANCHESTER UNITED YAJIPIGIA CITY NDANI YA LIGI KUU ENGLAND
YANGA WATAJA SABABU YA KUMCHIMBISHA KAZE PAMOJA NA BENCHI LAKE LA UFUNDI MAZIMA

 KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kwa mwendo wa mazoezi wanayofanya wachezaji wake, anaamini kwamba kwenye mechi za ushindani watakuwa na kazi ya kukimbiza wapinzani wao dakika zote 90.

 

Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 50 baada ya kucheza mechi 23, mchezo wake unaofuata kwenye ligi ni dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Dar, Jumamosi hii.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Mwambusi alisema mazoezi ambayo wanafanya vijana wake ni program maalum ambayo inaandaliwa kila siku na anamini inawajenga katika hali ya kujiamini.


“Kwenye mechi za ushindani ninaamini kwamba vijana watakimbiza dakika zote 90 kwa kucheza mpira bila kuchoka kwani mazoezi ambayo tunayafanya yanafuata kanuni zote za mchezo.

 

“Ikiwa vijana wanafanya mazoezi kwa muda wa zaidi ya dakika 90, ina maana kwamba watakuwa na uwezo wa kumudu muda kamili wa mechi, bado kuna mambo ya kuyafanyia kazi na tunaamini kwamba tutafanya vizuri,” alisema Mwambusi.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YAJIWEKA MGUU SAWA KUKIMBIZA DAKIKA ZOTE 90
YANGA YAJIWEKA MGUU SAWA KUKIMBIZA DAKIKA ZOTE 90
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjewyQ6qQVjly_c-KfG5OFZ44nzdFKJ5mHmkaXEssP8P80e7JhUtM4X2Bt1BKL5RmjDBINuKcBfn7sqVTMPrEPZSLCTE1wfT2MBDQ4oyvW8fduouARyBEflxBYWKPcl7Jr7nbbjUQ3qQ5Y-/w640-h640/Mwambusi+na+Michael.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjewyQ6qQVjly_c-KfG5OFZ44nzdFKJ5mHmkaXEssP8P80e7JhUtM4X2Bt1BKL5RmjDBINuKcBfn7sqVTMPrEPZSLCTE1wfT2MBDQ4oyvW8fduouARyBEflxBYWKPcl7Jr7nbbjUQ3qQ5Y-/s72-w640-c-h640/Mwambusi+na+Michael.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-yajiweka-mguu-sawa-kukimbiza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-yajiweka-mguu-sawa-kukimbiza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy