LUCY Kipoyi, mchezaji mpya wa Simba Queens amesema kuwa amejiunga na timu hiyo baada ya dili lake ndani ya TP Mazembe kumeguka, ameongeza ku...
LUCY Kipoyi, mchezaji mpya wa Simba Queens amesema kuwa amejiunga na timu hiyo baada ya dili lake ndani ya TP Mazembe kumeguka, ameongeza kuwa alionekana na Simba kupitia kurasa za kijamii ambapo alikuwa akiweka video zake huko jambo ambalo liliwavutia mabosi hao.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS