GOMES AWAKAZIA MAZEMBE, ATAJA SABABU ZA SARE NA KUSEPA NA KOMBE
HomeMichezo

GOMES AWAKAZIA MAZEMBE, ATAJA SABABU ZA SARE NA KUSEPA NA KOMBE

 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapinzani wao TP Mazembe walikuwa imara muda wote jambo ambalo limewafanya waambulie sare ...

HAJI MANARA: TUTAFUNIKA SIKU YA MWANANCHI, AWASIFU YANGA
SIMULIZI YA ALIYEWEZA KUREJESHA MAHUSIANO YAKE
YANGA KUWACHOMOA MASTAA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapinzani wao TP Mazembe walikuwa imara muda wote jambo ambalo limewafanya waambulie sare kwenye mchezo wao wa mwisho kwenye mchezo wa Simba Super Cup.

Licha ya Gomes kuwakazia wababe hao kwenye soka la Afrika, TP Mazembe bado timu yake iliweza kuibuka vinara kwenye mashindano ya Simba Super Cup kwa kukusanya pointi nne huku TP Mazembe wakiwa nafasi ya tatu na pointi yao ni moja.

Kwenye mashindano hayo ambayo ni mara ya kwanza kufanyika kwenye bara la Afrika, Simba walianza kufungua kwa ushindi wa mabao 4-1 Januari 27 dhidi ya Al Hilal ambao wao ni washindi wa pili baada ya kuifunga mabao 2-1 TP Mazembe. 

Mchezo wa jana,Januari 31 Simba ikiwa Uwanja wa Mkapa, ulikamilika kwa sare ya bila kufungana huku Simba ikikosa nafasi nyingi za wazi kupitia kwa kiungo wao Clatous Chama aliyekosa nafasi nne huku mshambuliaji Chris Mugalu akikosa nafasi mbili.

Kuhusu sare hiyo Gomes amesema:"Haikuwa bahati yetu kwani tulikutana na upinzani mkubwa kutoka kwa TP Mazembe, jambo zuri ni kwamba hatujafungwa ni mwanzo wa kujifunza pia.

"Wachezaji wanafanya vizuri wanastahili pongezi nina amini kwamba tutakuwa vema katika mechi zetu zijazo, shukrani kwa mashabiki kwa sapoti yao," .

Mashindano hayo yalikuwa maalumu kwa ajili ya kikosi cha Simba kujiaandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo imetinga hatua ya makundi.

Pia timu zote mbili shiriki ambazo ni Al Hilal na TP Mazembe zimetinga hatua ya makundi ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GOMES AWAKAZIA MAZEMBE, ATAJA SABABU ZA SARE NA KUSEPA NA KOMBE
GOMES AWAKAZIA MAZEMBE, ATAJA SABABU ZA SARE NA KUSEPA NA KOMBE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwERhOxElZoZaQkBmlYHJEzJepSMwFzCDpXJp1CrUCnojp5VAxc0lsGyirBuKXOwHVTMp9_P178sBZmLIL5NHycoEQESi-BTzo5Z5Y3_EsOxlzHLEanHqMiHG4wqzhyphenhyphenipwLAjiNZwjq4dR/w640-h340/Simba+Super.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwERhOxElZoZaQkBmlYHJEzJepSMwFzCDpXJp1CrUCnojp5VAxc0lsGyirBuKXOwHVTMp9_P178sBZmLIL5NHycoEQESi-BTzo5Z5Y3_EsOxlzHLEanHqMiHG4wqzhyphenhyphenipwLAjiNZwjq4dR/s72-w640-c-h340/Simba+Super.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/gomes-awakazia-mazembe-ataja-sababu-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/gomes-awakazia-mazembe-ataja-sababu-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy