HASSAN NASSORO: NINAPIGA MASHUTI 30 KILA SIKU
HomeMichezo

HASSAN NASSORO: NINAPIGA MASHUTI 30 KILA SIKU

 HASSAN Nasorro, kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Polisi Tanzania amesema kuwa amekuwa akifanya mazoezi ya kupiga mipira huru mara 30 kwa s...

YANGA: TUNAWAHESHIMU WAPINZANI WETU ILA TUTAPAMBANA NDANI YA UWANJA
MWENYEKITI MPYA SIMBA ASHINDA KWA ASILIMIA 70
LIGI KUU BARA: SIMBA 0-0 AZAM FC

 HASSAN Nasorro, kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Polisi Tanzania amesema kuwa amekuwa akifanya mazoezi ya kupiga mipira huru mara 30 kwa siku.

Nyota huyo ambaye ni chaguo la kwanza la Malale Hamsini ndani ya Polisi Tanzania ana uwezo mkubwa wa kuchezea mpira anavyotaka pamoja na kutoa pasi za uhakika kwa wachezaji wenzake.

Mbali na kuwa ndani ya Polisi Tanzania, Nassoro amewahi kutumika ndani ya kikosi cha Ndanda FC ambacho kinashiriki Ligi Daraja la Kwanza.

Akizungumza na Saleh Jembe, Nassoro amesma kuwa amekuwa akifanya mazoezi muda mwingi lengo ikiwa ni kuweza kuwa bora.

"Nipo vizui na ninapenda namna ambavyo tunashirikiana kwenye kazi yetu ya kusaka ushindi uwanjani.

"Kuhusu mipira iliyokufa nimekuwa nikifanya mazoezi ya kufanya hivyo kila siku ambapo ninapiga jumla ya mipira 30 nikiwa katikati ya uwanja. Jambo hilo kwangu ni kazi na ninafanya kwa kupenda hivyo sioni mashaka yoyote," amesema.

Polisi Tanzania kwenye msimamo wa ligi ipo nafasi ya 9 na ina pointi 30 baada ya kucheza jumla ya mechi 23.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HASSAN NASSORO: NINAPIGA MASHUTI 30 KILA SIKU
HASSAN NASSORO: NINAPIGA MASHUTI 30 KILA SIKU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5oWPp2YdmKnhSTm3eilnYlpZEcgjSatxb8lel-pA9HU2mLWC4_yoSS1bY72LSUCZcKnFPl1KfUyxtbFS3nG5pWYdAd69YPWa6ISavYZnCt7i-V2e7htDQI8I5fTi6KxpjevAzFe4yrjxE/w620-h640/Hassan+Nasoro+v+Azam+FC.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5oWPp2YdmKnhSTm3eilnYlpZEcgjSatxb8lel-pA9HU2mLWC4_yoSS1bY72LSUCZcKnFPl1KfUyxtbFS3nG5pWYdAd69YPWa6ISavYZnCt7i-V2e7htDQI8I5fTi6KxpjevAzFe4yrjxE/s72-w620-c-h640/Hassan+Nasoro+v+Azam+FC.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/hassan-nassoro-ninapiga-mashuti-30-kila.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/hassan-nassoro-ninapiga-mashuti-30-kila.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy