YANGA: TUNAWAHESHIMU WAPINZANI WETU ILA TUTAPAMBANA NDANI YA UWANJA
HomeMichezo

YANGA: TUNAWAHESHIMU WAPINZANI WETU ILA TUTAPAMBANA NDANI YA UWANJA

 CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City una...


 CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City unaotarajiwa kuchezwa Februari 13, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara wakiwa wamecheza jumla ya mechi 18 bila kupoteza na kibindoni wamekusanya jumla ya pointi 44. wameshinda mechi 13 na sare tano.

Akizungumza na Saleh Jembe, Kaze amesema kuwa kila mchezo kwao ni fainali na wanatambua kwamba wapinzani wao wamejipanga kupata ushindi jambo ambalo halimpi tabu.

"Kila mchezaji anajua majukumu yake akiwa ndani ya uwanja, nina waamini vijana wangu wanafanya kazi vizuri wakiwa ndani ya uwanja hivyo ni muhimu kwetu kushinda.

"Jambo zuri ni kwamba hakuna ambaye anajua nini kitatokea kesho sisi tunaangalia maandalizi yetu pamoja na nguvu kubwa kwenye kusaka ushindi ndani ya dakika 90.

"Tunawaheshimu Mbeya City ni timu nzuri ipo wazi ila haitatufanya tuingie uwanjani kwa kujiamini, kila kitu kitakuwa sawa ndani ya uwanja mashabiki watupe sapoti," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: TUNAWAHESHIMU WAPINZANI WETU ILA TUTAPAMBANA NDANI YA UWANJA
YANGA: TUNAWAHESHIMU WAPINZANI WETU ILA TUTAPAMBANA NDANI YA UWANJA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhsXx5CIu5ik_GTSBXkzZGk5BKrPb9HhYAOGafcnN9bBrBeF1FYvb-ms8iIeos9sf_iX9PraEbkYnMgU58QgUFYeVARq08doFPEJWqBtQe3c43p4Hr7VI45QYCUPIxw2hw9YQ_s9DXZdaPy/w640-h518/Kaze+na+wana.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhsXx5CIu5ik_GTSBXkzZGk5BKrPb9HhYAOGafcnN9bBrBeF1FYvb-ms8iIeos9sf_iX9PraEbkYnMgU58QgUFYeVARq08doFPEJWqBtQe3c43p4Hr7VI45QYCUPIxw2hw9YQ_s9DXZdaPy/s72-w640-c-h518/Kaze+na+wana.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/yanga-tunawaheshimu-wapinzani-wetu-ila.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/yanga-tunawaheshimu-wapinzani-wetu-ila.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy