Kipindi cha Kwanza Simba 0-0 Azam FC Uwanja wa Mkapa Dakika ya 20, Kigonya anaokoa hatari ya Luis Miquissone Dakika ya 16 Sure Bo...
Kipindi cha Kwanza
Simba 0-0 Azam FC
Uwanja wa Mkapa
Dakika ya 20, Kigonya anaokoa hatari ya Luis Miquissone
Dakika ya 16 Sure Boy njano
Dakika ya 15 Morris anapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 14 Chama anaotea
Dakika ya 13 Kigonya anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 12 Lyanga anafanya jaribio linakwenda nje ya 18
Dakika ya 8 Tshabalala on target
Dakika ya 6 Chama aliotea
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS