Watanzania Kuchangamkia Fursa Za Kibiashara Na Uwekezaji Nchini Uturuki
HomeHabari

Watanzania Kuchangamkia Fursa Za Kibiashara Na Uwekezaji Nchini Uturuki

Wafanyabiashara  wa Ndani ya nchi wametakiwa kuendelea kukuza  ushirikiano na Wafanyabiashara wengine kutoka nje ya nchi   ikiwemo wafanya...

Wafanyabiashara  wa Ndani ya nchi wametakiwa kuendelea kukuza  ushirikiano na Wafanyabiashara wengine kutoka nje ya nchi   ikiwemo wafanyabiashara kutoka n nchi ya Uturuki ili kuhakikisha Wanakuza na  kuongeza thamani ya Mnyoro wa Uchumi wa nchi.

Wito huo Umetolewa na Ndugu.Paul koyi Rais wa chemba ya Biashara  Viwanda na kilimo(TCCIA) Wakati wa Mkutano wa siku moja wa Wafanyabiashara na wekezezaji zaidi 25 kutoka nchini Uturuki na wandani ya nchi ikiwa lengo Kubadilishana uzoefu na kupeana Fursa za Uwekezaji pande hizo mbili.

Ndugu Koyi Amesema kuwa lengo la serikali nikuhakisha Wana wapa Fursa Wafanyabiashara na wawekezaji wa Ndani ya nchi kutafuta masoko na kuwekeza nje ya nje ikiwa lengo kukuza Ushirikiano katika Uwekezaji.

Hata hivyo  amesema kuwa Miongoni mwa mwa  vitu wanavyo peleka nchini Uturuki ni Malighafi ya mazao hivyo basi wanaomba Wafanyabiashara kupeleka  nchini humo  kwa wingi na kuongeza ongezekao la thamani ikiwa lengo ni kuchochea Uchumi wa nchi na wakulima kwa Ujumla ili wanufaike na kilimo.

Wakati huo huo Amesema kuwa Miongoni mwa makampuni yalio kuja nchini kushiriki  kutoka nchini Uturuki ni ya Umeme hivyo wamekutana na Wafanyabiashara Biashara wa Ndani wanaofanya Biashara ya vifaa vya Umeme hapa Tanzania ili wapeane Fursa za Uwekezaji.

Naye Mwenyekiti wa  Taasisi ya Sekta Binafs  TPSF  Bi.Angelina Ngalula amesema kuwa  Biashara ya nchi ya Utuluki na Serikali ya Tanzania imeendelea kukua na kufikia kipindi Cha Mwaka Mmoja  Dora  Milioni Mia Tatu tofauti na Zamani ilikuwa Dora Milioni Miambili na Hamsini Ndani ya Kipindi Cha Mwaka Mmoja imekua zaidi  hivyo Kupitia juhudi Rais  Jamhuli ya Muungano Wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani .

Aidha Bi. Ngalula  amesema kuwa Utuluki Ina mpango wa kujenga Vituo vyao hapa Tanzania vya  kuweza kuonesha Fursa ambazo zinapatoka nchini Uturuki kwa kushirikiana na Watanzania ili kuhakikisha wanachochoea Uchumi wa nchi hasa katika kuwainua Watanzania.

Mkutano huo ulifanyika Jijini Dar es salaam na Kushiri Wafanyabiashara na Wawekezaji Tofauti katoka Ndani nchi na nchi ya Utuluki ulio andaliwa na nchi Uturuki Chini ya Balozi wa nchi hiyo

Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Dk,Mehment v Gulluoglu kwa Kushirikiana na Serikali ya Tanzania


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Watanzania Kuchangamkia Fursa Za Kibiashara Na Uwekezaji Nchini Uturuki
Watanzania Kuchangamkia Fursa Za Kibiashara Na Uwekezaji Nchini Uturuki
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiNa4ETJQpnT-l3IyCA2UoPH4KW-e6rTWSfaeaCMl6pU2h-dh5GLGgNusEte8-fZATHPEyHDPRw_QMgjpQSlBMYDFavrxgc5WH1ioQV7E6hiJ7AACRZQ8Hm2-rFFuAn8WHDxIvY-SZ4_Gj1RjBdfBDpdxlcp2xW-Zy8wJliYAl5PznkhI2duGSgDtbHvQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiNa4ETJQpnT-l3IyCA2UoPH4KW-e6rTWSfaeaCMl6pU2h-dh5GLGgNusEte8-fZATHPEyHDPRw_QMgjpQSlBMYDFavrxgc5WH1ioQV7E6hiJ7AACRZQ8Hm2-rFFuAn8WHDxIvY-SZ4_Gj1RjBdfBDpdxlcp2xW-Zy8wJliYAl5PznkhI2duGSgDtbHvQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/watanzania-kuchangamkia-fursa-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/watanzania-kuchangamkia-fursa-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy