AZAM FC BADO IPO CHIMBO KUSHUSHA MAJEMBE YA KAZI
HomeMichezo

AZAM FC BADO IPO CHIMBO KUSHUSHA MAJEMBE YA KAZI

  UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba bado upo chimbo kwa sasa kuendelea kusaka majembe mapya kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22. Taya...

VIDEO: MUZIKI WA YANGA MSIMU WA 2021/22 ACHA KABISA, KIKOSI HIKI HAPA
VIDEO: WAKALA WA WACHEZAJI KUMLETA MCHEZAJI MWENYE UWEZO YANGA, AZUNGUMZA NA INJINIA
VIDEO: MO KUSEPA SIMBA, MANARA KUWASHA MOTO TENA,

 UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba bado upo chimbo kwa sasa kuendelea kusaka majembe mapya kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22.

Tayari Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwanamina imemalizana na majembe saba ya kazi ikiwa ni pamoja na Wazambia, watatu ambao ni  Charles Zulu, Paul Katema na Rodgers Kola, Mkenya Kenneth Muguna na beki wa kushoto mzawa, Edward Manyama pamoja na mshambuliaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Idris Mbombo.

Pia yupo kipa Ahmed Ali Suleiman ambaye ni mzawa alikuwa akikipiga ndani ya kikosi cha KMKM ya Zanzibar.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin alisema kuwa kazi kubwa iliyopo kwenye kikosi hicho ni kujenga wingo mpana kwa ajili ya mashindano ya kimataifa pamoja na ligi.

“Hatujamaliza bado kazi inaendelea hivyo licha ya kwamba tumesajili ikitokea mwalimu akatuambia kuna jambo tunapaswa kufanya basi itakuwa hivyo.

“Tunashiriki kwenye mashindano ya kimataifa msimu ujao na tuna kazi ya kushiriki kwenye ligi hivyo ni lazima tujipange kuwa imara kwa ajili ya ushindani,” alisema Amin.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC BADO IPO CHIMBO KUSHUSHA MAJEMBE YA KAZI
AZAM FC BADO IPO CHIMBO KUSHUSHA MAJEMBE YA KAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhxmCQeBBHsfRZyoHhIVFyd4ptis1B6GE7CmfSRVsF13g24FJz759vNXiYxuaDBhTUK7i3SnZBqHONNOAIkKjHAzbv6blIN__fsFgI35FJHbVEYppphtNU59YnlmgEZlAi3WkkbOevuywxr/w640-h494/azamfcofficial-221261092_811503209556552_7189812240045329394_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhxmCQeBBHsfRZyoHhIVFyd4ptis1B6GE7CmfSRVsF13g24FJz759vNXiYxuaDBhTUK7i3SnZBqHONNOAIkKjHAzbv6blIN__fsFgI35FJHbVEYppphtNU59YnlmgEZlAi3WkkbOevuywxr/s72-w640-c-h494/azamfcofficial-221261092_811503209556552_7189812240045329394_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/azam-fc-bado-ipo-chimbo-kushusha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/azam-fc-bado-ipo-chimbo-kushusha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy