MKATA UMEME LWANGA KUWAKOSA DODOMA JIJI LEO KWA MKAPA
HomeMichezo

MKATA UMEME LWANGA KUWAKOSA DODOMA JIJI LEO KWA MKAPA

 KIUNGO Mkabaji wa Klabu ya Simba, Taddeo Lwanga ataukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja...


 KIUNGO Mkabaji wa Klabu ya Simba, Taddeo Lwanga ataukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes saa 1:00 itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji inayonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata ambapo itakosa huduma ya mkata umeme huyo.

Akizungumza na Saleh Jembe, Seleman Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa watamkosa Lwanga kwa kuwa alipata msiba wa dadayake.

"Tutakosa huduma ya Taddeo Lwanga kwa sababu ana msiba wa dada yake hivyo tunamuombea Mungu ampe nguvu ili aweze kumaliza mambo hayo kisha ajiunge na timu.

"Kuhusu maandalizi kila kitu kipo sawa na tunahitaji kuona kwamba tunapata pointi tatu muhimu,".

Aprili 23, Simba walitoa salamu za rambirambi kwa mchezaji huyo kwa kumpa pole juu ya kuondokewa na dada yake mpendwa Agnes Nakityo.

Kutokana na msiba huo Lwanga alikosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Gwambina FC uliochezwa Aprili 24 Uwanja wa Gwambina Complex na ubao ulisoma Gwambina 0-1 Simba, ilikuwa ni siku ya mazishi kwenye kijiji cha Ndejje Kanyanya Zone kilichopo mjini Wakiso, Uganda.


 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MKATA UMEME LWANGA KUWAKOSA DODOMA JIJI LEO KWA MKAPA
MKATA UMEME LWANGA KUWAKOSA DODOMA JIJI LEO KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhBdgVOzUwiSXD-5wxAXiTdIxAcC1luC3CnwNo4m91EVZ-F7UU4pbmwlTj6kx-_5rHE5Jb2-AEtlmWJwho8-zhzQ6q9fWZ9EvZK8OewcgYrKld1sGb5SNh3t5BxU8ElOCj-5NHrn4MFVPG7/w636-h640/Lwanga+tena.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhBdgVOzUwiSXD-5wxAXiTdIxAcC1luC3CnwNo4m91EVZ-F7UU4pbmwlTj6kx-_5rHE5Jb2-AEtlmWJwho8-zhzQ6q9fWZ9EvZK8OewcgYrKld1sGb5SNh3t5BxU8ElOCj-5NHrn4MFVPG7/s72-w636-c-h640/Lwanga+tena.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mkata-umeme-lwanga-kuwakosa-dodoma-jiji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mkata-umeme-lwanga-kuwakosa-dodoma-jiji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy