MANCHESTER UNITED, ARSENAL ZAWANIA SAINI YA MSENEGAL
HomeMichezo

MANCHESTER UNITED, ARSENAL ZAWANIA SAINI YA MSENEGAL

MANCHESTER United imeripotiwa kwamba imeungana na Arsenal katika kuwania saini ya mshambuliaji wa Slavia Pragu e, Abdalah Sima. Sima mwen...

MANCHESTER United imeripotiwa kwamba imeungana na Arsenal katika kuwania saini ya mshambuliaji wa Slavia Pragu
e, Abdalah Sima.

Sima mwenye umri wa miaka 19 amekuwa na msimu bora ambapo amefunga jumla ya mabao 19 kwenye mashindano yote ikiwa ni manne kwenye Europa League.

Raia huyo wa Senegal ambaye pia anacheza timu ya taifa amekuwa akihusishwa pia kujiunga na washika bunduki Arsenal inayonolewa na Mikel Arteta ili kuongeza nguvu katika kikosi hicho.

Pia amehusishwa kujiunga na West Ham United huku Manchester United nao ikielezwa kuwa wanamfuatilia kijana huyo kwa kuwa wamebadilisha sera ya usajili na kuamua kuwekeza nguvu kubwa kwa vijana.

Sima ana uwezo wa kucheza upande wa kulia na kati ikiwa atapangwa na ana uwezo wa kutokea upande wowote katika kushambulia jambo ambalo linatajwa kuwavutia mabosi wa Old Trafford.

Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Slavia Prague ambaye ni kiungo, Tomas Soucek anayekipiga ndani ya West Ham amesema kuwa :"Ninaweza kusema kwamba watu wa West Ham wanamtambua kijana. Ninapenda kuona kwamba mchezaji mwingine kutoka Slavia anakuja hapa ila ni safari ndefu.

"Bado ni mchezaji kijana na anaweza kuonyesha kwamba anaweza. Wengi wanajua kuhusu yeye na naona kwamba sio jambo baya kwake," .


'



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER UNITED, ARSENAL ZAWANIA SAINI YA MSENEGAL
MANCHESTER UNITED, ARSENAL ZAWANIA SAINI YA MSENEGAL
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVCaHUqbZx63Aq95NeixJ_rK9YSZPM8Zr-W5hd1w55to3iciE7YxGAndX4xmbDvhqxIpM6DqZXXxQak8NrQZWYxPLSv1BGNi53QkCajJrjgUYgN-L0nOGgCSF11mQO94PPAYx17or44HtT/w640-h428/Abdala+bana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVCaHUqbZx63Aq95NeixJ_rK9YSZPM8Zr-W5hd1w55to3iciE7YxGAndX4xmbDvhqxIpM6DqZXXxQak8NrQZWYxPLSv1BGNi53QkCajJrjgUYgN-L0nOGgCSF11mQO94PPAYx17or44HtT/s72-w640-c-h428/Abdala+bana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/manchester-united-arsenal-zawania-saini.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/manchester-united-arsenal-zawania-saini.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy