KIM POULSEN MATUMAINI KIBAO MBELE YA MADAGASCAR
HomeMichezo

KIM POULSEN MATUMAINI KIBAO MBELE YA MADAGASCAR

  KIM Poulsen,  Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa mchezo wao wa jana dhidi ya DR Congo ulikuwa ni mgumu ila anawapa po...

JOSE MOURINHO:KUKASIRIKA KWA WACHEZAJI KAWAIDA WAKIFUNGWA
MANARA: SIMBA VS MAZEMBE NI ZAIDI YA SOKA
DUBE: KWA BEKI HUYU, SIMBA WAMEPATA JEMBE

 


KIM Poulsen,  Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa mchezo wao wa jana dhidi ya DR Congo ulikuwa ni mgumu ila anawapa pongezi wachezaji wake kwa kupambana.


Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa TP Mazembe,Lubumbashi ngoma ilikuwa ni 1-1 na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. 


Kim amesema:"Mchezo wetu ulikuwa mgumu hasa kutokana na wapinzani wetu ambao walikuwa bora na kuweza kumiliki mpira kwa muda kipindi cha kwanza na kupata bao ambalo tuliweza kusawazisha.


"Kwa namna wachezaji walivyopambana wanastahili pongezi kwa kuwa wamefanya kazi kubwa dhidi ya mpinzani wetu ambaye alikuwa imara.


"Makosa yapo na tuliyafanyia kazi kipindi cha pili kuelekea katika mchezo wetu ujao dhidi ya Madagascar tutapambana kupata ushindi na tunaamini kwamba tutapata ushirikiano kutoka kwa mashabiki, " amesema.


Mchezo ujao wa Tanzania unatarajiwa kuchezwa Septemba 7, Uwanja wa Mkapa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KIM POULSEN MATUMAINI KIBAO MBELE YA MADAGASCAR
KIM POULSEN MATUMAINI KIBAO MBELE YA MADAGASCAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAROP2EoVa6R6B6OkTn3AzJR11AyWEmnIDADYBWxdwijDqpndfeUmnHDQDvlQ_Pf84uKc6zSrKf1Duerf849-M56F9d6rJT3ytwFrFMjWwWYN7QFJE8BMPwGe1jzRQCikrSovCbEoThWbq/w634-h640/Screenshot_20210903-091032_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAROP2EoVa6R6B6OkTn3AzJR11AyWEmnIDADYBWxdwijDqpndfeUmnHDQDvlQ_Pf84uKc6zSrKf1Duerf849-M56F9d6rJT3ytwFrFMjWwWYN7QFJE8BMPwGe1jzRQCikrSovCbEoThWbq/s72-w634-c-h640/Screenshot_20210903-091032_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/kim-poulsen-matumaini-kibao-mbele-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/kim-poulsen-matumaini-kibao-mbele-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy