MC Mboneke mzee wa irudiwe, irudiwe kutoka Mbeya anasema kuwa yeye maisha yake yote ya elimu na kukua ilikuwa ni Mbeya akiwa na elimu ya kid...
MC Mboneke mzee wa irudiwe, irudiwe kutoka Mbeya anasema kuwa yeye maisha yake yote ya elimu na kukua ilikuwa ni Mbeya akiwa na elimu ya kidato cha sita.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kupitia kile ambacho amesoma amesema kuwa matokeo ambayo anayapata kupitia elimu yake ni fani yake ambayo anaifanya kwa sasa na aliamua kuja kwa mtindo huo ili kuwa tofauti.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS