IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kusuka kikosi chake upya ikiwa ni pamoja na safu ya ushambuliaji, kwa sasa inaelezwa kuwa kuna msh...
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kusuka kikosi chake upya ikiwa ni pamoja na safu ya ushambuliaji, kwa sasa inaelezwa kuwa kuna mshambuliaji ambaye anacheza ndani ya Kaizer Chiefs, Kambole huenda akasajiliwa na Yanga msimu ujao. Pia inasaka beki ambaye atakuwa mbadala wa nahodha Lamine Moro
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS