KIUNGO SAIDO AFUNGUKIA ISHU YA KUGOMEA KUSHANGILIA GOLI MBELE YA GWAMBINA FC
HomeMichezo

KIUNGO SAIDO AFUNGUKIA ISHU YA KUGOMEA KUSHANGILIA GOLI MBELE YA GWAMBINA FC

 NYOTA wa Yanga, Saido Ntibanzokiza amesema kuwa hana tatizo lolote na wachezaji wake pamoja na benchi la ufundi bali ni sehemu ya mchezo ...


 NYOTA wa Yanga, Saido Ntibanzokiza amesema kuwa hana tatizo lolote na wachezaji wake pamoja na benchi la ufundi bali ni sehemu ya mchezo ambayo ilitokea jana wakati timu hiyo ikishinda mabao 3-1 dhidi ya Gwambina FC.

Katika mchezo wa jana uliongozwa na Kaimu Kocha, Juma Mwambusi, Saido alianzia benchi na aliingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya Tuisila Kisinda ambaye aliumia  alipofunga bao hilo hakushangilia.

Hali hiyo ilionyesha kuwa nyota huyo hakuwa na furaha kuanzia benchi pia hakukuwa na mawasiliano mazuri na kiungo Deus Kaseke baada ya kuingia ndani ya uwanja.

Aliweza kupachika bao la tatu kwa Yanga dakika ya 90+4 akitumia pasi ya Michael Sarpong na baada ya kufunga bao hilo alianza kuonyesha ishara kwamba atolewe nje jambo ambalo alilifanya ghafla huku akionekana kuvua jezi ya Yanga.

Akizungumzia suala hilo kiungo huyo raia wa Burundi amesema:"Ni mechi ambayo tulikuwa tunahitaji ushindi na tumepata hilo tunamshukuru Mungu.

"Wachezaji tupo vizuri isipokuwa muda mwingine huwa inatokea kwenye mchezo na pale mchezo unapokwisha hayo yanakuwa yanaisha. Kikubwa ni ushindi na hiyo ndiyo furaha yetu,".

 Yanga inafikisha jumla ya pointi 57 ikiwa nafasi ya kwanza baada ya kucheza jumla ya mechi 26 Gwambina wanabaki nafasi ya 12 na pointi zao ni 30.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KIUNGO SAIDO AFUNGUKIA ISHU YA KUGOMEA KUSHANGILIA GOLI MBELE YA GWAMBINA FC
KIUNGO SAIDO AFUNGUKIA ISHU YA KUGOMEA KUSHANGILIA GOLI MBELE YA GWAMBINA FC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1WGHkYFlvUzJYJ-Bof_k6Zv5O0SKBEdPnK_XGSFth7AM6RVUeY2Pf7Tvvi-4Sc8rZMe6YCEit-tb60IW0wc7mmi2TvA5BgKc3fDQEtpKDHW-kX-SVvrgpEAN-1ZC0h3Tk37eh_gpg-T2p/w640-h564/nTIBA+Tizi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1WGHkYFlvUzJYJ-Bof_k6Zv5O0SKBEdPnK_XGSFth7AM6RVUeY2Pf7Tvvi-4Sc8rZMe6YCEit-tb60IW0wc7mmi2TvA5BgKc3fDQEtpKDHW-kX-SVvrgpEAN-1ZC0h3Tk37eh_gpg-T2p/s72-w640-c-h564/nTIBA+Tizi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kiungo-saido-afungukia-ishu-ya-kugomea.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kiungo-saido-afungukia-ishu-ya-kugomea.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy