Wazalishaji Wa Dawa Nchini Watakiwa Kuongeza Kasi
HomeHabari

Wazalishaji Wa Dawa Nchini Watakiwa Kuongeza Kasi

 Na.WAMJW- Dar es Salaam. Wazalishaji wa dawa na vifaa tiba wote nchini wametakiwa kuongeza kasi ya uzalishaji dawa kwa kushirikian na B...

Bunge Live: Bunge La 12 Mkutano Wa 3 Kikao Cha 15 Tarehe 22.04.2021
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo April 22
Wasanii Kutumia Bure Akaunti zao Binafsi YouTube


 Na.WAMJW- Dar es Salaam.
Wazalishaji wa dawa na vifaa tiba wote nchini wametakiwa kuongeza kasi ya uzalishaji dawa kwa kushirikian na Bohari ya Dawa(MSD) ili kuondokana na changamoto ya bidhaa hizo nchini.

Rai hiyo ilimetolewa Leo na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto- Afya Prof. Abel Makubi wakati alipotembelea Bohari ya Dawa na kuongea na wazalishaji wa dawa na vifaa tiba nchini.

“Tunawashukuru kwa uzalendo wenu wa kuwekeza nchini, pokeeni salamu kutoka kwa Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima na Manaibu Waziri”.

Hata hivyo Prof. Makubi amewataka wazalishaji hao kushirikiana na MSD katika kuhakisha dawa zao zinawafikia wananchi wa vijijini ili kuweza kutatua changamoto ya Dawa Kwenye vituo vya kutolea Huduma za afya nchini.

Aidha, Katibu Mkuu huyo amewahakikishia Wazalishaji hao kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana nao na kuhakikisha eneo la uzalishaji dawa linakua ili kupunguza utegemezi wa dawa kutoka nje ya nchi.

“MSD ni chombo chetu Cha kuwatumikia wananchi hivyo ni vyema kukipa ushirikiano ili upatikanaji wa dawa,vifaa na vitendanishi ziwepo wakati wote”.Alisisitiza Prof. Makubi.

Aliongeza kuwa ni wakati Sasa wa kuanza ukurusa Mpya kati ya Wazalishaji na MSD kwani utawala Bora unajengwa kwa misingi ya Uzalendo, Uaminifu, na Kuaminiana .

Kwa upande wa Bei za bidhaa za Dawa, Katibu Mkuu huyo aliwataka Wazalishaji kukaa pamoja na MSD kupitia upya bei za bidhaa ili ziwe na uhalisia wa soko bila kuumiza Wananchi.

Licha ya hayo Prof. Makubi amewaahidi kuwa Serikali itawalipa kwa wakati Wazalishaji wote ambao watatoa ushirikiano wa kuleta dawa na vifaa kwa wakati na kwa ukamilifu.

Nao Wazalishaji hao ambao ni wamiliki wa viwanda vya dawa na bidhaa nyinginezo za afya nchini wameahidi kutoa ushirikiano kwa Serikali katika kuboresha upatikanaji wa dawa nchini na kuuunga mkono Serikali iliyoko madarakani inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wazalishaji Wa Dawa Nchini Watakiwa Kuongeza Kasi
Wazalishaji Wa Dawa Nchini Watakiwa Kuongeza Kasi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhU8408CAkvyiw0NycoUiOT7JRaaKh3KIK_-7x-KMwAsHBu1FUeSBuPw5cKcJPlsjyFrtzhoHKz5zztGC8NdmjRUTexcXQlRlv6uqv-y2yXevclUReT_rOH5J0Dd0_2leJfo98ANKOlv5zU/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhU8408CAkvyiw0NycoUiOT7JRaaKh3KIK_-7x-KMwAsHBu1FUeSBuPw5cKcJPlsjyFrtzhoHKz5zztGC8NdmjRUTexcXQlRlv6uqv-y2yXevclUReT_rOH5J0Dd0_2leJfo98ANKOlv5zU/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/wazalishaji-wa-dawa-nchini-watakiwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/wazalishaji-wa-dawa-nchini-watakiwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy