Stendi Mpya ya Mabasi Mbezi Luis kuanza kutumika February 25

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge amesema kituo Kipya cha mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi cha Mbezi Luis kitaanza r...


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge amesema kituo Kipya cha mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi cha Mbezi Luis kitaanza rasmi kutoa huduma Februari 25, 2021, na kituo mabasi cha Ubungo hakitotumika tena.

RC Kunenge amesema hatua hiyo imekuja baada ya kukamilika kwa miundombinu yote muhimu ikiwemo majengo, maegesho, barabara na ofisi za kutoa huduma.

Amesema tayari Serikali imekutana na wadau wote husika ikiwemo Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) na wote wamejiridhisha kuwa kituo kimekamilika na kipo katika hali nzuri ya kutoa huduma.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam, Sporah Liana amesema Jumanne watafanya kikao na wafanyabiashara wote watakaokuwa wakitoa huduma ndani ya kituo hicho na Jumatano watakutana na wamachinga, Baba Lishe na Mama Lishe kwa ajili ya kuwekeana mikakati ya biashara.

Kuhusu ulinzi, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema jeshi la polisi limejipanga kuhakikisha abiria wote wanaosafiri au kuingia kituoni hapo hawapati usumbufu wa aina yoyote.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends

COMMENTS

BLOGGER
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3567,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,706,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Stendi Mpya ya Mabasi Mbezi Luis kuanza kutumika February 25
Stendi Mpya ya Mabasi Mbezi Luis kuanza kutumika February 25
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKKZNKKC7OT9VIVkovlmsSIj0pAZMumloGCDlg7UeXrcelztAFzwXuwuADBUh5LD8LQEWvfbfySx5kyL4fAAzfPIu3P_aV38zjhEqF74PeNxDHHI5jQYIS8f7AB4M1LgbXvohK7PdALF10/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKKZNKKC7OT9VIVkovlmsSIj0pAZMumloGCDlg7UeXrcelztAFzwXuwuADBUh5LD8LQEWvfbfySx5kyL4fAAzfPIu3P_aV38zjhEqF74PeNxDHHI5jQYIS8f7AB4M1LgbXvohK7PdALF10/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/stendi-mpya-ya-mabasi-mbezi-luis-kuanza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/stendi-mpya-ya-mabasi-mbezi-luis-kuanza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy