SAKATA LA MORRISON LAIBUKA UPYA, YANGA WADAI WANAONEWA
HomeMichezo

SAKATA LA MORRISON LAIBUKA UPYA, YANGA WADAI WANAONEWA

 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hautendewi haki kwenye masuala yao tofauti na wengine namna ambavyo wanafanyiwa ikiwa ni pamoja na sakata l...

AUCHO ATAJA SABABU YA KUIKACHA SIMBA NA KUSAINI YANGA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MAJEMBE YA KAZI SIMBA YATUA

 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hautendewi haki kwenye masuala yao tofauti na wengine namna ambavyo wanafanyiwa ikiwa ni pamoja na sakata la mchezaji wao Bernard Morrison ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya Simba.

Morrison amekuwa na mvutano mkubwa na mabosi wake hao wa zamani ambapo wao wanadai kwamba ana kandarasi ya miaka miwili ndani ya Yanga huku mchezaji akiweka wazi kuwa alisaini dili la miezi sita. 

Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredric Mwakalebela mwishoni mwa 2020 aliweka wazi kuwa mchezaji huyo alisaini mkataba feki jambo ambalo limefumbiwa macho na wahusika pamoja.

Pia amesema kuwa Morrison alitakiwa kulipa fedha kwa kwa Yanga ila mpaka sasa imekuwa kimya tofauti na wao wanapofanya makosa kupewa adhabu mara moja.

Mwakalebela amesema:"Mkataba feki wa mchezaji mpaka sasa imekuwa kimya, tunaomba tuitwe tuthibitishe, ukweli kuhusu suala hilo ila tunamaliza ligi hatujaitwa.

"Kamati ilisema mchezaji anapaswa arudishe fedha kwenye Klabu ya Yanga, hadi leo hakuna suala hilo kuona linazungumzwa na hakuna majibu na hakuna suala linalozungumziwa.

"Hatujasskia TFF,(Shirikisho la Soka Tanzania) likisema kuwa mchezaji huyo amelipa ama kuna taarifa yoyote inayohusu malipo yake.

"Ila ikitokea sasa ni suala la Yanga limetokea muda huohuo adhabu inatolewa kwa wakati na utaskia tunaambiwa kwamba tunakatwa kwenye mapato ya getini," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SAKATA LA MORRISON LAIBUKA UPYA, YANGA WADAI WANAONEWA
SAKATA LA MORRISON LAIBUKA UPYA, YANGA WADAI WANAONEWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicOmtl8odFJC-W0QaAGxDXtUIue7XPKHpjulzDD9gMzfaU2rJ1ImSLderC84SvdDXZcWKwnwBwT_Ay4ITZ9EWybP72mzYcytxwbrohfhCbgCwuIvWnUuRen8zI75LSFHJyI_v8_dWAtubq/w640-h450/ushindi+wake.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicOmtl8odFJC-W0QaAGxDXtUIue7XPKHpjulzDD9gMzfaU2rJ1ImSLderC84SvdDXZcWKwnwBwT_Ay4ITZ9EWybP72mzYcytxwbrohfhCbgCwuIvWnUuRen8zI75LSFHJyI_v8_dWAtubq/s72-w640-c-h450/ushindi+wake.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/sakata-la-morrison-laibuka-upya-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/sakata-la-morrison-laibuka-upya-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy