MAJEMBE YA KAZI SIMBA YATUA
HomeMichezo

MAJEMBE YA KAZI SIMBA YATUA

 NYOTA wa Simba, Clatous Chama amerejea ndani ya ardhi ya Bongo akitokea Zambia ambapo alikuwa kwa ajili ya mapumziko. Chama ambaye ni ki...


 NYOTA wa Simba, Clatous Chama amerejea ndani ya ardhi ya Bongo akitokea Zambia ambapo alikuwa kwa ajili ya mapumziko.

Chama ambaye ni kinara wa kutengeneza pasi za mwisho hivi karibuni ilionekana kuwa amezinguana na mtu ambaye anadhaniwa kuwa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Mohammed Dewji, 'Mo' katika ukurasa wake wa Instagram.

Ilikuwa ni kwenye Instagram Live alipohojiwa kuhusu Haji Manara alimsifia jambo ambalo lilimfanya bosi huyo aombe kuondoka kwenye mkutano huo.

Chama alitoa ufafanuzi kwamba alikuwa kwenye drama ambayo hakuifikiria na wengi wanapenda kuona timu inakuwa kwenye migogoro jambo ambalo halipaswi kupewa nafasi.

Pia Perfect Chikwende naye ambaye ni kiungo amerejea ikiwa ni kwa ajili ya kuweka kambi ambayo inatarajiwa kufanyika nchini Morocco.

Chikwende alikuwa Zimbabwe ambapo alikwenda kwenye majukumu ya timu ya taifa na ameshamaliza kazi amerejea kuendelea na kazi yake ndani ya Simba ambao ni mabingwa wa ligi.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAJEMBE YA KAZI SIMBA YATUA
MAJEMBE YA KAZI SIMBA YATUA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5sA2u9JE71Nlg7gxPPwyRk8_8mgrwP0GV2xWErF0r8WmP2OKMH1oOMxYYGjqaoZ8BtUySnhf2nUizUP8tT0TX4hXXpBeGf5pv2ZBzwkwippUDFEkd9vLlVfzkcwYJrYFQ2PxT7hlAQ79C/w562-h640/shaffihdauda_-234806841_981607402665779_7368266956257768820_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5sA2u9JE71Nlg7gxPPwyRk8_8mgrwP0GV2xWErF0r8WmP2OKMH1oOMxYYGjqaoZ8BtUySnhf2nUizUP8tT0TX4hXXpBeGf5pv2ZBzwkwippUDFEkd9vLlVfzkcwYJrYFQ2PxT7hlAQ79C/s72-w562-c-h640/shaffihdauda_-234806841_981607402665779_7368266956257768820_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/majembe-ya-kazi-simba-yatua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/majembe-ya-kazi-simba-yatua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy