KUNDI A Ligi ya Mabingwa Afrika ni moto wa kuotea mbali. Kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wakati Simba ikishinda bao 1-0 dhidi ...
KUNDI A Ligi ya Mabingwa Afrika ni moto wa kuotea mbali. Kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wakati Simba ikishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita, njia ya kutokea kwa wapinzani ilikuwa kwa mwamba Mohamed Hussein.
Hiyo ilifanya kiungo Luis Miquissone kuongeza nguvu ya kuwa beki kwa kuwa alisababisha faulo moja na kona moja kutoka upande huu wa Mohamed hapo Simba wanakazi ya kuboresha zaidi.
Maana ratiba yao imekaza hebu cheki mambo yalivyo:-
Februari 23:_
Simba v Al Ahly
Al Merrik v AS Vita
Machi 5
Al Merrikh v Simba
Al Ahly v AS Vita
Aprili 2
Simba v AS Vita
Al Merrick v Al Ahly
April 9
Al Ahly v Simba
AS Vita v Al Merrick
Ngoma inakamilika hesabu zitachezwa nani kapeta atinge hatua ya robo fainali. Kwa sasa kinara wa kundi hilo ni Simba kibindoni anazo 3.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS