MKATA UMEME WA SIMBA LWANGA AKANA KUCHEZA RAFU
HomeMichezo

MKATA UMEME WA SIMBA LWANGA AKANA KUCHEZA RAFU

 TADDEO  Lwanga,  kiungo wa timu ya Simba meibuka na  kubainisha wazi kwamba yeye  hachezi rafu kama wengi wanavyosema  badala yake anakuw...

MANULA AINGIA ANGA ZA MAMELODI SUNDOWNS
KIPA NAMBA MOJA WA AZAM FC KUIBUKIA JKT TANZANIA
MKATA UMEME WA SIMBA LWANGA APEWA KAZI MAALUMU

 TADDEO Lwanga,  kiungo wa timu ya Simba meibuka na kubainisha wazi kwamba yeye hachezi rafu kama wengi wanavyosema badala yake anakuwa anatimiza majukumu yake.

 Mkata umeme huyo ameongeza kwamba kwa nafasi yake kama kiungo mkabaji inabidi ajitume kwa ajili ya kulilinda lango lake ambapo kama angekuwa anacheza rafu angekuwa anatoka mchezoni.

 

Lwanga mara nyingi amekuwa akicheza soka la kutimiza majukumu yake ya kuhakikisha lango lao halipati kushambuliwa na wapinzani wao kwenye mechi zao za ligi kuu au Ligi ya Mabingwa Afrika.


Raia huyo wa Uganda huyo amesema kuwa: “Hapana, hapana, mimi sichezi rafu, ila kama kiungo mkabaji natakiwa kuwa makini mchezoni muda wote. Kama ningekuwa nacheza hivyo ningekuwa natoka sana mchezoni, lakini sifanyi hivyo hata kidogo.

 

“Naisaidia timu kushinda mechi zake na hilo ndiyo jambo ambalo nalifanya mara zote, natimiza majukumu yangu kwa kulilinda vyema lango la timu yangu," .


Lwanga ni miongoni mwa wachezaji wa Simba waliopo nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi unaotarajiwa kuchezwa kesho, Aprili 9.


Timu zote mbili tayari zimetinga hatua ya robo fainali kwenye kundi A ambapo Simba inaongoza kundi ikiwa na pointi 13 na Al Ahly ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 8.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MKATA UMEME WA SIMBA LWANGA AKANA KUCHEZA RAFU
MKATA UMEME WA SIMBA LWANGA AKANA KUCHEZA RAFU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjn2bfqj1E5jQ11w83xzpx2v8WgSaMN1o1wfY9vmVIqgaByI94uz5n6Ao76l887k2QFzhie8sGAL_TawWdYQjYLniEb_4TCpeYNScbP4uftjrr11uY7QvtAjfPB2yHr3qyJrTy5jXZAo1J2/w640-h360/Lwanga+Tadeo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjn2bfqj1E5jQ11w83xzpx2v8WgSaMN1o1wfY9vmVIqgaByI94uz5n6Ao76l887k2QFzhie8sGAL_TawWdYQjYLniEb_4TCpeYNScbP4uftjrr11uY7QvtAjfPB2yHr3qyJrTy5jXZAo1J2/s72-w640-c-h360/Lwanga+Tadeo.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mkata-umeme-wa-simba-lwanga-akana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mkata-umeme-wa-simba-lwanga-akana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy