SARE YA MABAO 2-2 YAIFUNGASHIA VIRAGO CHAN TAIFA STARS
HomeMichezo

SARE YA MABAO 2-2 YAIFUNGASHIA VIRAGO CHAN TAIFA STARS

  SARE ya mabao 2-2 kwa timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars itatufangashia virago jumlajumla kwenye michuano ya Chan, nchini Cameroon...

SIMBA YAPANIA KUFANYA MAAJABU KIMATAIFA, KUWAJUA WAPINZANI WAO LEO
NYOTA HAWA WATATU WA YANGA KUIKOSA TANZANIA PRISONS LEO
SAUTI: GSM WABAINISHA KWAMBA WANAIPA THAMANI YANGA

 


SARE ya mabao 2-2 kwa timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars itatufangashia virago jumlajumla kwenye michuano ya Chan, nchini Cameroon.


Mabao kwa Tanzania yalifungwa na Baraka Majogoro dakika ya 23 ambapo alikuwa akiweka usawa lile la Barry Yacouba lililopachikwa dakika ya 5 kwa mkwaju wa penalti.


Dakika 45 zilikamilika kwa timu zote kutoshana nguvu na kuwafanya waende kwenye vyumba vya kubadilishana mawazo kila mmoja akiwa na pointi moja na bao moja.


Kipindi cha pili Stars walipata bao dakika ya 67 kupitia kwa Edward Manyama ila halikuweza kulindwa mpaka dakika ya 90.


Lilidumu kwa muda wa dakika 15 ambapo dakika ya 82 Guinea waliweka mzani sawa kupitia kwa Victor na kuongeza mzigo kwa Stars.


Inakuwa ni mara ya pili Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Etiene Ndayiragije kushiriki Chan na kutolewa kwenye hatua ya makundi.


Inatolewa ikiwa na pointi nne kwa kuwa mchezo wa kwanza ilipoteza mbele ya Zambia kwa kufungwa mabao 2-0 na ikashinda bao 1-0 mbele ya Namibia ambao nao pia wamesepa kwenye michuano hiyo inayoshirikisha wachezaji wa ndani.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SARE YA MABAO 2-2 YAIFUNGASHIA VIRAGO CHAN TAIFA STARS
SARE YA MABAO 2-2 YAIFUNGASHIA VIRAGO CHAN TAIFA STARS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwrF2j8W08Y6blkhLHnBqeLalb1Xd2AVMHXsPTvHI4KE6G0Z4OO-rCXMwBs1NmOIJs8PpyGOArOpRI-lWeYK31ruvzQt_OBgRLztmuHklgQkzFUn4oAtwMhWP_6ZyasQCImMselQ98TwbJ/w640-h640/IMG_20210128_061152_334.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwrF2j8W08Y6blkhLHnBqeLalb1Xd2AVMHXsPTvHI4KE6G0Z4OO-rCXMwBs1NmOIJs8PpyGOArOpRI-lWeYK31ruvzQt_OBgRLztmuHklgQkzFUn4oAtwMhWP_6ZyasQCImMselQ98TwbJ/s72-w640-c-h640/IMG_20210128_061152_334.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/sare-ya-mabao-2-2-yaifungashia-virago.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/sare-ya-mabao-2-2-yaifungashia-virago.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy