FIFA YAIPIGA PINI MAZIMA CHAD
HomeMichezo

FIFA YAIPIGA PINI MAZIMA CHAD

 SHIRIKISHO  la soka duniani, FIFA limeifungia Chad katika mashindano ya dunia ya kandanda baada ya Serikali ya nchi hiyo kuingilia kati n...


 SHIRIKISHO la soka duniani, FIFA limeifungia Chad katika mashindano ya dunia ya kandanda baada ya Serikali ya nchi hiyo kuingilia kati namna ambavyo Shirikisho la soka nchini humo inavyofanya kazi.

 

 

Hatua hii imekuja baada ya Waziri wa Vijana na Michezo kuvunja Shirikisho la soka nchini Chad mnamo mwezi Machi.

 

 

Baada ya tangazo hilo lililotolewa na Serikali ya Chad , Shirikisho la Soka Barani Afrika, (Caf) liliitoa timu ya taifa katika raundi ya pili ya kufuzu kuingia kombe la mataifa ya Afrika.

 

 

Chad haipo kwenye michuano yeyote ya kimataifa baada ya kuondolewa katika mashindano ya kombe la dunia ya mwaka 2022 na Sudan mwaka 2019.

 

 

Taarifa rasmi kutoka Shirikisho la soka la duniani limesema: “Baraza la Fifa linaweza kuondoa marufuku hayo muda wowote kabla ya mkutano ujao wa Fifa na tutatoa taarifa rasmi.” 


Mkutano ujao unatarajiwa kufanyika mtandaoni Mei 21.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: FIFA YAIPIGA PINI MAZIMA CHAD
FIFA YAIPIGA PINI MAZIMA CHAD
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDz2tkEjrdLN1ZGmp-gIMyKhiZRPdz9kpRZz3wuCyhLLubOElz2AdDB3jCn6BPDVrSyh9otYZiOJeyoNBn9wbJOFGGvj69i8O06QTJyoLtSMJOdkHzXmn8_J9B6TRc1JmGfvQ5fPttJrj9/w640-h460/Chaddd.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDz2tkEjrdLN1ZGmp-gIMyKhiZRPdz9kpRZz3wuCyhLLubOElz2AdDB3jCn6BPDVrSyh9otYZiOJeyoNBn9wbJOFGGvj69i8O06QTJyoLtSMJOdkHzXmn8_J9B6TRc1JmGfvQ5fPttJrj9/s72-w640-c-h460/Chaddd.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/fifa-yaipiga-pini-mazima-chad.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/fifa-yaipiga-pini-mazima-chad.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy