YANGA WATAJA SABABU YA KUSAJILI VIJANA,KAZE ATOA NENO
HomeMichezo

YANGA WATAJA SABABU YA KUSAJILI VIJANA,KAZE ATOA NENO

  MSHAURI Mkuu wa Yanga kuelekea kwenye mfumo wa mabadiliko, Senzo Mbatha amesema kuwa wameamua kuwaongeza vijana ndani ya timu ili kwend...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
VIDEO: MORRISON AOMBA RADHI KWA MASHABIKI KISA YANGA

 


MSHAURI Mkuu wa Yanga kuelekea kwenye mfumo wa mabadiliko, Senzo Mbatha amesema kuwa wameamua kuwaongeza vijana ndani ya timu ili kwenda na kasi ya soka la kisasa.


Yanga jana Januari 27 ilimtambulisha Nizar Khalifan kuwa kocha msaidizi akichukua mikoba ya Juma Mwambusi ambaye aliomba kujiweka kando kutokana na matatizo ya kiafya pamoja na Edem Mortotsi kuwa kocha wa viungo.


Khalifan alikuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya African Lyon ambayo inashiriki Ligi Daraja la Kwanza na pia aliwahi kucheza timu ya Mtibwa Sugar pamoja na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. 


Mbatha amesema:"Tunahitaji kuongeza thamani ya ubora katika benchi ndio maana wote ni vijana na hata kocha mkuu wetu ni kijana ili kuendana na soka la kisasa,".

Kaze ambaye ni mkuu Kwenye benchi la ufundi amesema kuwa anaamini watu waliochaguliwa ni sahihi  na watafanya kazi kwa ushirikiano.


"Ninaona watu ambao wamechaguliwa ni  watu wazuri hivyo ni suala la kusubiri na kuona namna ambavyo tutaendelea kupambana,".


Yanga kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya kwanza na pointi 44 baada ya kucheza mechi 18.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA WATAJA SABABU YA KUSAJILI VIJANA,KAZE ATOA NENO
YANGA WATAJA SABABU YA KUSAJILI VIJANA,KAZE ATOA NENO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfpkwglCdjd-_WBcPhI9BuWZm6oZp3Oy0Q6tSxA5H-b2YBAAaHGnUKzNRyxu5bsFUKM-fcAwvUB4W4ZfDa1iYvr1wmIHTrMIWYcEGHEdyMBmzT4Hh0jk5koSq_sUcjUMq8w2DDpnE4TC9U/w640-h640/IMG_20210128_065437_473.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfpkwglCdjd-_WBcPhI9BuWZm6oZp3Oy0Q6tSxA5H-b2YBAAaHGnUKzNRyxu5bsFUKM-fcAwvUB4W4ZfDa1iYvr1wmIHTrMIWYcEGHEdyMBmzT4Hh0jk5koSq_sUcjUMq8w2DDpnE4TC9U/s72-w640-c-h640/IMG_20210128_065437_473.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/yanga-wataja-sababu-ya-kusajili.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/yanga-wataja-sababu-ya-kusajili.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy