LUKAKU BADO YUPO INTER
HomeMichezo

LUKAKU BADO YUPO INTER

 MSHAMBULIAJI  wa kikosi cha Inter Milan, Romelu Lukaku amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho kwa kuwa anafurahi maisha ya hapo licha...

KARINGO ASHINDA MKWANJA SportPesa
KUMBE! BERNARD MORISSON SABABU YA BANDA KUONGEA KISWAHILI
YANGA MATUMAINI KIBAO DHIDI YA WANAIJERIA, UJANJA WAO UPO HAPA

 MSHAMBULIAJI  wa kikosi cha Inter Milan, Romelu Lukaku amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho kwa kuwa anafurahi maisha ya hapo licha ya kuhusishwa kusepa ndani ya Serie A.

Nyota huyo ambaye alijiunga na Inter Milan akitokea Manchester United amekuwa akitajwa kurudi ndani ya Ligi Kuu England msimu ujao jambo ambalo ameligomea.

Msimu uliopita kwenye Serie A alitupia jumla ya mabao 24 na kuipa ubingwa timu yake baada ya miaka 11 jambo ambalo limefanya thamani yake izidi kuwa kubwa na kuzivutia timu nyingi zinazoshiriki Ligi Kuu England ambapo Chelsea ilikuwa inatajwa kuivutia saini yake.

Lukaku ambaye ni raia wa Ubelgiji amesema kuwa anajisikia furaha ndani ya Inter Milan jambo ambalo litamfanya abaki katika kikosi hicho msimu ujao hivyo mashabiki wasiwe na mashaka juu yake.

"Nipo na nitabaki ndani ya Inter Milan kwani hapa ni sehemu nzuri kwangu na maisha yake ninayafurahia,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LUKAKU BADO YUPO INTER
LUKAKU BADO YUPO INTER
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5o5wBjmu5qIg7tAzBI1YMnLLo-cdLq8OWKU81kKGkn4sMwx-5HTuYfjBGAK0D-M3EG4FtrK87ePlRH7MXRSU1lWXe_0JAmc2fNcVK2VDnwNg3LaT6kawyybWUt1DBSPdNbjMxZF_Yzpgq/w640-h360/Lukaku+bana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5o5wBjmu5qIg7tAzBI1YMnLLo-cdLq8OWKU81kKGkn4sMwx-5HTuYfjBGAK0D-M3EG4FtrK87ePlRH7MXRSU1lWXe_0JAmc2fNcVK2VDnwNg3LaT6kawyybWUt1DBSPdNbjMxZF_Yzpgq/s72-w640-c-h360/Lukaku+bana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/lukaku-bado-yupo-inter.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/lukaku-bado-yupo-inter.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy