Waziri Wa Madini Dk. Doto Biteko Mgeni Rasmi Kongamano La Madini Wilaya Ya Iramba
HomeHabari

Waziri Wa Madini Dk. Doto Biteko Mgeni Rasmi Kongamano La Madini Wilaya Ya Iramba

Na Dotto Mwaibale, Singida WAZIRI wa Madini Dk.Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la madini litakalofanyika Febru...


Na Dotto Mwaibale, Singida
WAZIRI wa Madini Dk.Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la madini litakalofanyika Februari 19, 2022 wilayani Iramba mkoani Singida.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Suleiman Mwenda wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kongamano hilo ambalo litaongeza chachu ya maendeleo katika wilaya hiyo kupitia sekta ya madini.

” Kongamano ili ni fursa kubwa kwetu Wana Iramba kwani kutakuwa na mada mbalimbali zitakazohusu masuala ya  madini ambayo tunayachimba kwa wingi hapa wilayani kwetu” alisema Mwenda.

Aidha Mwenda alisema kongamano hilo litatanguliwa na maonyesho  yenye lengo la kutangaza fursa za madini wilayani Iramba na kuongeza shughuli za uchimbaji madini.

Alisema ofisi yake kwa kushirikiana na wadau wa madini wilayani humo,taasisi za fedha,mashirika ya umma na yasiyo ya kiserikali wanawa karibisha wadau wote katika  kongamano hilo ambalo ni la muhimu litakalofanyika Jumamosi kwenye ukumbi mkubwa wa Halmashauri hiyo uliopo mjini Kiomboi.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Wa Madini Dk. Doto Biteko Mgeni Rasmi Kongamano La Madini Wilaya Ya Iramba
Waziri Wa Madini Dk. Doto Biteko Mgeni Rasmi Kongamano La Madini Wilaya Ya Iramba
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg-MaacyXhjMfD05sZ4aaotEKse_Ij9bqzBZ7o-rGjLE-Nl_OninetrWqTRpBRZ2eTTor6RONd2tC6GHM8QTfiuqWigGWsH2-zxEu2jHhC5Qu3VUMh0hsbkBcwibquP91kMnSPR18NpkaFY-tgBY1zSxuzdwIyk0Q0u8rdeH65J0m70yGpAkPgMHQs-wA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg-MaacyXhjMfD05sZ4aaotEKse_Ij9bqzBZ7o-rGjLE-Nl_OninetrWqTRpBRZ2eTTor6RONd2tC6GHM8QTfiuqWigGWsH2-zxEu2jHhC5Qu3VUMh0hsbkBcwibquP91kMnSPR18NpkaFY-tgBY1zSxuzdwIyk0Q0u8rdeH65J0m70yGpAkPgMHQs-wA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/02/waziri-wa-madini-dk-doto-biteko-mgeni.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/02/waziri-wa-madini-dk-doto-biteko-mgeni.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy