ALICHOKISEMA KOCHA MPYA SIMBA, BAADA YA KUTAMBULISHWA
HomeMichezo

ALICHOKISEMA KOCHA MPYA SIMBA, BAADA YA KUTAMBULISHWA

 Akimtambulisha mbele ya Waandishi wa Habari, Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema Kocha Mkuu mpya wa Simba, Didier Gomes Da Ro...

JOHN BOCCO ANALIAMSHA DUDE KILA BAADA YA DAKIKA 56
SIMBA, YANGA ZAGOMBEA SAINI YA KIPA HUYU MZAWA
VIDEO: ISHU YA CAS HAINA FAIDA KWA YANGA, AJIBU NI MCHEZAJI MZURI

 Akimtambulisha mbele ya Waandishi wa Habari, Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema Kocha Mkuu mpya wa Simba, Didier Gomes Da Rosa leo Januari 24, 2021 amejiunga nao akitokea Sudan na amesaini mkataba wa miaka miwili. 

 

"Tunamtambulisha kocha Gomes ametokea Al Merrikh ya Sudan na ni raia wa Ufaransa," amesema Barbara Tayari Simba ishamleta kocha wa makipa juzi na ameanza mazoezi na klabu hiyo jana kuelekea mashindano ya Simba Super Cup yatakayoanza Januari 27-31 na kuzikaribisha timu ya TP Mazembe ya DR Congo na Al Hilal ya Sudan. 

 

 Gomes ametokea Al Merrikh ya Sudan inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa kundi moja na Simba.

 

 Gomes ameshukuru kujiunga na Simba yenye malengo na ushawishi mkubwa kwa mashabiki. “Nina furaha sana kuwa hapa na tuna nafasi ya kufanya mengi pamoja mbeleni. Timu niliyoondoka niliamua mwenyewe. Nataka kuwepo Simba kwa muda mrefu.”amesema Gomes



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ALICHOKISEMA KOCHA MPYA SIMBA, BAADA YA KUTAMBULISHWA
ALICHOKISEMA KOCHA MPYA SIMBA, BAADA YA KUTAMBULISHWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaEjDnNSi34ij51k6CaKLUBwxI0KD0GCmXN3SDQzVeOhGvBvdJD2M6hUHOF5zPlB4E0Sm_xbxStU-9vu6xv3NIFogohZRTuW3m4sl_7PoyoQ4tRmSJaRSgFu12Tz2sT2xsgTsyyFT6VAfl/s600/SIMBA+%25289%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaEjDnNSi34ij51k6CaKLUBwxI0KD0GCmXN3SDQzVeOhGvBvdJD2M6hUHOF5zPlB4E0Sm_xbxStU-9vu6xv3NIFogohZRTuW3m4sl_7PoyoQ4tRmSJaRSgFu12Tz2sT2xsgTsyyFT6VAfl/s72-c/SIMBA+%25289%2529.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/alichokisema-kocha-mpya-simba-baada-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/alichokisema-kocha-mpya-simba-baada-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy