ARGUERO AOMBA MSAMAHA KUKOSA PENALTI
HomeMichezo

ARGUERO AOMBA MSAMAHA KUKOSA PENALTI

 SERGIO Kun Arguero, mshambuliaji wa Manchester City ameomba msamaha kwa kupiga penalti mbovu iliyowafanya wakose pointi kwenye mchezo wa ...


 SERGIO Kun Arguero, mshambuliaji wa Manchester City ameomba msamaha kwa kupiga penalti mbovu iliyowafanya wakose pointi kwenye mchezo wa Ligi Kuu England mbele ya Chelsea.

Juzi wakati City wakichapwa mabao 2-1 dhidi ya Chelsea walishindwa kutangazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu England kwa sababu walikuwa wanahitaji ushindi.

Pia jana walikwama kuutwaa ubingwa huo baada ya Manchester United kushinda mbele ya Aston Villa hivyo bado City wanakazi ya kusaka ushindi kwenye mechi zao zilizobaki.

Nyota huyo amesema:"Napenda kuomba msamaha kwa wachezaji wenzagu, viongozi pamoja na mashabiki wa soka kutokana na kukosa penalti ile.

"Yalikuwa ni maamuzi mabaya sana na napenda kuwahakikishia kuwa lawama zote zinanihusu mimi,".

Kocha Mkuu wa City, Pep Guardiola amesema kuwa alimuambia nyota huyo awe makini hivyo hawezi kujua ni jambo gani ambalo lilimkuta.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ARGUERO AOMBA MSAMAHA KUKOSA PENALTI
ARGUERO AOMBA MSAMAHA KUKOSA PENALTI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhIKt_BqwXISFKf21SnSgIJHnFq6cZx6Ma27I3_RIFlH4JUUG51l6GTSBNwLfOuiQM3ykOaETovBPIwCd9zARztcQ1q7W6dnDK2LxJ6jBnLMCFoZroWGm06uKV0J-G6orRTWYIUJmZmT81C/w640-h474/Arguero+na+Pep.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhIKt_BqwXISFKf21SnSgIJHnFq6cZx6Ma27I3_RIFlH4JUUG51l6GTSBNwLfOuiQM3ykOaETovBPIwCd9zARztcQ1q7W6dnDK2LxJ6jBnLMCFoZroWGm06uKV0J-G6orRTWYIUJmZmT81C/s72-w640-c-h474/Arguero+na+Pep.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/arguero-aomba-msamaha-kukosa-penalti.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/arguero-aomba-msamaha-kukosa-penalti.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy