LULU Michael na Madai ya Kulipwa Mil.15 Kwa Kucheza Movie Moja
HomeGossip

LULU Michael na Madai ya Kulipwa Mil.15 Kwa Kucheza Movie Moja

Sidhani kama kuna producer apa bongo mwenye kifafa cha akili, ambaye ataweza kumlipa LULU mil 15 kwa movie moja tu. Ki Ukweli hakuna movi...


Sidhani kama kuna producer apa bongo mwenye kifafa cha akili, ambaye ataweza kumlipa LULU mil 15 kwa movie moja tu. Ki Ukweli hakuna movie yeyote aliyowahi kuigiza LULU na kuweza kuvunja rekodi ya mauzo kuliko filamu nyingine yoyote hapa nchini na kuweza kuwashawishi ma producer kuweza kumtumia kwenye movie zao ata kwa dau la mil 5 tu.

Nina uhakika LULU anaweza kuongoza kwa mauzo ya magazeti ya udaku apa nchini, ila sio kwenye filamu za kibongo, huo ndio ukweli.

Siwezi kumlipa Shamsa ford (CHAUSIKU) laki Mbili na nusu kwenye movie ya CHAUSIKU then nikamlipe LULU mil 10 akaigize FOOLISH AGE, that is foolish.

Ni upuuzi kumlipa RIYAMA ALLY laki tatu kucheza filamu ya FUNGU LA KUKOSA nikamlipe LULU mil 6 kucheza movie ya FAMILY CURSE.

Ni laana kumlipa ODAMA (Jennifer kyaka) laki tatu kucheza filamu ya ODAMA ukamlipe LULU mil 8 kucheza movie ya FAMILY DISASTER.

Hakuna awezaye kumlipa NISHA (salma jabu) laki moja na nusu kucheza filamu ya ZENA NA BETINA ukamlipe LULU mil 20 kucheza movie ya HOUSEBOY.

Simaanishi kuwa LULU sio muigizaji mzuri ila kiwango chake kwenye tasnia ya filamu bado sana , she has a long way to go, asifananishe umaarufu Wa kwenye magazeti na mitandao ya kijamii na kiwango cha uigizaji wake kwenye tasnia ya filamu.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LULU Michael na Madai ya Kulipwa Mil.15 Kwa Kucheza Movie Moja
LULU Michael na Madai ya Kulipwa Mil.15 Kwa Kucheza Movie Moja
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnRK0e89gNqadskT9F9ONNZeC1ztgYHEyiZR05yKMBVFSTGvkyEYgfIDZlQmO9Cm7GOhU0vEZFc-LyB85zHTnUuunYuy8pgYdGiLpN7C25u9yCWcpb53Uidv2_QK19dofcoq2iCMM0u8UJ/s640/LULU+MICHAEL+MAPESA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnRK0e89gNqadskT9F9ONNZeC1ztgYHEyiZR05yKMBVFSTGvkyEYgfIDZlQmO9Cm7GOhU0vEZFc-LyB85zHTnUuunYuy8pgYdGiLpN7C25u9yCWcpb53Uidv2_QK19dofcoq2iCMM0u8UJ/s72-c/LULU+MICHAEL+MAPESA.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/lulu-michael-na-madai-ya-kulipwa-mil15.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/lulu-michael-na-madai-ya-kulipwa-mil15.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy