Watendaji Tekelezeni Maagizo Ya Serikali
HomeHabari

Watendaji Tekelezeni Maagizo Ya Serikali

Adeladius Makwega,WHUSM-Dodoma Serikali imesema kuwa pale yanapotolewa maelekezo ya Serikali, mkuu wa taasisi ana wajibu wa kutekeleza m...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 19, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 19, 2024
Barcelona wamekataa ofa ya €30m kutoka kwa Manchester United kwa Fermin Lopez.


Adeladius Makwega,WHUSM-Dodoma
Serikali imesema kuwa pale yanapotolewa maelekezo ya Serikali, mkuu wa taasisi ana wajibu wa kutekeleza maagizo hayo na siyo vingenevyo, kama mtu amechoka ni vizuri kuachia ngazi mara moja.

Kauli hii ya Serikali imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo mheshimiwa Innocent Bashungwa wakati akizungumza na menejiment ya wizara yake iliyowakutanisha wakuu wa Idara, vitengo na taasisi kadhaa zilizo chini yake.

“Mimi na naibu wangu sasa tumeshafanya kazi kwa muda na tunawatambua vizuri kama tunakuja kuitembelea taasisi yako tunatoa maagizo hauyatekelezi, tunarudi tena tunakuta hali ile ile sasa unataka nini kwetu, mimi na naibu wangu hatuwezi kuvumilia hali hii, naomba uondoke  kabla hatujafanya maamuzi hayo,”

Wizara yetu itafanyika vizuri sana kama maagizo ya serikali yanatekelezwa kwa wakati na anapokuja kiongozi mnaanzia pale  mlipotekeleza kwa agizo la awali na kundelea  mbele zaidi na serikali iweze kutoa maagizo mapya.

 “Wale ambao wanaojiona hawatoshi ondokeni haraka, mimi sitaki kuona hali ya utendaji kazi inakuwa hivyo, msilazimishe nichukue maamuzi ya haraka.” Aliongeza Waziri Banshungwa.

 Bahati kubwa wizara yetu kuwa na Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo ili aweze kufanya kazi vizuri anahitaji kupewa ushirikiano na idara zote za wizara hii na wizara zingine.

“Ninakupongea kwa kazi unayofanya, tangu uje na umeendelea kutoa ushauri wa hili na lile katika kazi zetu husasani za utoaji wa habari kwa umma, hongera kwa kazi nzuri.” Alisema.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo alisema kuwa lazima kazi zifanyike kwa umakini mkubwa kwani zinapofanyika vizuri ni sifa ya kila mmoja.

 “Kazi zote zifanyike ili kuepusha makosa yasiyo ya lazima na panapokuwepo na makosa inatoa ishara ya namna ya mtu aliyefanya kazi  hiyo alivyo.” Alisema Mhe Gekul.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Watendaji Tekelezeni Maagizo Ya Serikali
Watendaji Tekelezeni Maagizo Ya Serikali
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4IFtgMxDGOUfXY79HdAK7QqFtEw6vSoaqYt2TiH0gvT9nKMQmL5nYYCWps1ok6M7NoXsCuHhky4tsjWB1ez8Clhd0Zsr6tnKkszdmehJKLnQxEQItC62e_lxR5VVGUKyq0kfFt4ikp2T9/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4IFtgMxDGOUfXY79HdAK7QqFtEw6vSoaqYt2TiH0gvT9nKMQmL5nYYCWps1ok6M7NoXsCuHhky4tsjWB1ez8Clhd0Zsr6tnKkszdmehJKLnQxEQItC62e_lxR5VVGUKyq0kfFt4ikp2T9/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/watendaji-tekelezeni-maagizo-ya-serikali.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/watendaji-tekelezeni-maagizo-ya-serikali.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy