Baada ya kuchapwa mabao 4-0 na Aston Villa, Sasa Uongozi wa klabu ya Sunderland ya England umetangaza kumtimua kocha wake Gus Poyet. Po...
Baada ya kuchapwa mabao 4-0 na Aston Villa, Sasa Uongozi wa klabu ya Sunderland ya England umetangaza kumtimua kocha wake Gus Poyet.
Poyet ambaye ni raia wa Uruguay, Aliingoza timu hiyo katika mechi 75, akashinda mechi 23, akapoteza 22 na sare 30 baada ya kuifundisha toka Oktoba 8, 2013.
Katika msimamo wa ligi kuu ya England, Sunderland inashika nafasi nne kutoka mkiani ikiwa na alama 26.

COMMENTS