Habari kutoka nchini Nigeria zinasema kwamba jengo kubwa la kibiashara la nchi hiyo Berlin market limeteketea kwa moto ...
Habari kutoka nchini Nigeria zinasema kwamba jengo kubwa la kibiashara la nchi hiyo Berlin market limeteketea kwa moto ambao haujajulikana chanzo chake ni nini.
Mashaidi wa tukio hilo wamesema moto huo umeanza kuwa muda wa 4am asubuhi kuanzia kwenye ghorofa ya juu.
Chanzo cha habari kinasema kuwa pesa na mali nyingine nyingi zimepotea kwenye janga hilo.
Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo;
COMMENTS