Soma  headlines za mgomo Dar na Dodoma,  Kisa cha Watz kufukuzwa Kenya? Ishu ya Rombo bado iko nayo !! (Audio)
HomeMatukio

Soma headlines za mgomo Dar na Dodoma, Kisa cha Watz kufukuzwa Kenya? Ishu ya Rombo bado iko nayo !! (Audio)

Hizi ni baadhi ya zilizopewa headlines kwenye Magazeti ya leo MAY 22 2015.. Utazipata zote pia kwenye sauti ambayo nimeirekodi na ...






Hizi ni baadhi ya zilizopewa headlines kwenye Magazeti ya leo MAY 22 2015.. Utazipata zote pia kwenye sauti ambayo nimeirekodi na kukuwekea hapa.

Baada ya mgomo wa wanafunzi Chuo cha Dar es Salaam sasa mgomo umehamia Chuo Kikuu Dodoma, wamesema hawatoingia darasani mpaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifika chuoni hapo, stori nyingine inahusu NEC kusema kwamba kutakuwa na utaratibu wa kila aliyejiandikisha kupiga kura hata kama atakuwa amehama sehemu alipojiandikishia.

Mgomo wa wafanyabiashara walemavu Dar nao uko kwenye vichwa vya habari, wafunga barabara Dar kwa zaidi ya saa tano.. kingine ni baadhi ya ndugu na jamaa ambao ndugu zao walifariki kwenye ajali ya MV Bukoba wamelalamikia Serikali kutojali siku ya kumbukumbu ya ajali hiyo, kuna stori pia ya wanafunzi 44 wa Ngorongoro wametimuliwa kutoka shule za Kenya, kisa kinachohusishwa ni ishu ya kufukuzwa kwa wahamiaji haramu Loliondo.

Mbunge wa Rombo Joseph Selasini amezungumzia kuumizwa na stori wa wanawake kuagiza wanaume toka Kenya, utamsikiliza pamoja na uchamnbuzi wote kwenye sauti hii hapa.


Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Soma headlines za mgomo Dar na Dodoma, Kisa cha Watz kufukuzwa Kenya? Ishu ya Rombo bado iko nayo !! (Audio)
Soma headlines za mgomo Dar na Dodoma, Kisa cha Watz kufukuzwa Kenya? Ishu ya Rombo bado iko nayo !! (Audio)
http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/05/highlights_logo.jpg?resize=369%2C195
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/05/home-magazeti-ni-headlines-za-mgomo-dar.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/05/home-magazeti-ni-headlines-za-mgomo-dar.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy