MWANAMUZIKI AK47 AFARIKI DUNIA!!!
HomeMatukio

MWANAMUZIKI AK47 AFARIKI DUNIA!!!

Mwili wa AK47 ukitolewa katika mochwari ya Hospitali ya Nsambya. WAKATI wapenzi wa muziki nchini Uganda wakiwa bado wamegubikwa na simanzi ...

Google yazindua huduma mpya ya simu za Smartphone
Mtu mmoja auawa kwenye maandamano ya upinzani>>> Soma yote hapa
TASWIRA BAADA YA MVUA YA LEO ENEO LA BAMAGA, DAR



Mwili wa AK47 ukitolewa katika mochwari ya Hospitali ya Nsambya.
WAKATI wapenzi wa muziki nchini Uganda wakiwa bado wamegubikwa na simanzi kwa kuondokewa na mwanamuziki wa miondoko ya dancehall, Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47, taarifa mpya zimeibuka kuwa kuna uwezekano kuwa alipigwa kabla ya kifo chake.



Jose Chameleon (katikati) akiwa na simanzi baada ya kuondokewa na mdogo wake.
AK47 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali baada ya kuanguka akiwa bafuni.
Taarifa hizo zinadai kuwa atakuwa alipigwa katika baa aliyokuwemo iitwayo Dejavu, iliyopo eneo la Kabalagala kabla ya kupelekwa Hospitali ya Nsambya, Kampala ambapo mauti yalimkuta.
Baa hiyo inamilikiwa na Jeff Kiwanuka, aliyekuwa meneja wa wasanii wawili Radio na Weasel.


Pallaso (mwenye tisheti ya bluu) ambaye naye ni kaka wa marehemu akifarijiwa na mwanamuziki Bebe Cool.
Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kabalagala, Nusulah Kemigisha ameeleza kuwa anahisi kuna mchezo mchafu umechezwa baada ya kukuta mwili wa marehemu ukiwa na majeraha sehemu za kifua na kuamua kufunga baa hiyo ili kuruhusu uchunguzi.


Marehemu AK47 enzi za uhai wake.

Imeelezwa kuwa AK47, ambaye ni mdogo wa mwanamuziki nguli wa Uganda, Jose Chameleon (Joseph Mayanja), alipigwa na kuamua kwenda bafuni kunawa kabla ya kudaiwa kuteleza na kuanguka.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MWANAMUZIKI AK47 AFARIKI DUNIA!!!
MWANAMUZIKI AK47 AFARIKI DUNIA!!!
http://api.ning.com/files/E-eiwesnIS0OoICWmLkGGl*tXvoD7EZx0TAgvLJlhYHvQfQhJXc3o2RI6jmo7mB9vAu0KfrmejoCSR-zukt23qxSaifWn88y/ak3.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/mwanamuziki-ak47-afariki-dunia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/mwanamuziki-ak47-afariki-dunia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy