JOTI WA ORIJINO KOMEDI AMEKUJA NA STAILI MPYA YA MWAKA 2015 NI SHIIIIDAAAAAAA
HomeGossip

JOTI WA ORIJINO KOMEDI AMEKUJA NA STAILI MPYA YA MWAKA 2015 NI SHIIIIDAAAAAAA

Asilimia kubwa ya mastar wengi wa duniani huwa wanapenda kutengeneza kitu ambacho kitakua tofauti na wengine ili kumtengenez...

WALIONASWA KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA KUMBE WALIOANA
Ni kweli umaarufu wa Wema Sepetu umeshuka baada ya kuachana na Diamond?
Hapa na Pale: Penzi la Wolper na Nay wa Mitego Kuwekwa Wazi!!

Asilimia kubwa ya mastar wengi wa duniani huwa wanapenda kutengeneza kitu ambacho kitakua tofauti na wengine ili kumtengenezea utambulisho wake popote anapokuwepo.

 


Tumeona style kadhaa za mavazi ambayo yanapovaliwa na mastar huwa yanachukua chart kwa kuvaliwa pia na watu wa kawaida ambao huwa wanavutiwa nayo.

Kingine ni style ya nywele ambazo mastar wamekuja nazo ikiwemo kiduku ambapo kwa sasa mastar wengi wananyoa hivyo,kuna wengine wanaachia nywele zinakua nyingi style hii wengi wao huita ‘Mwembe’ kwa wingi wa nywele kichwani.

Star kutoka kundi la Original Komed Joti yeye mwaka 2015 kaamua kuja na style hii ambayo hajasema inaitwaje ambapo kwenye ukurasa wake wa Instagram alipost picha akiwa ananyoa na alipomaliza.

Katika post yake ya kwanza aliandika>>’Kwaheri 2014′ hii alionekana akinyoa na katika post nyingine aliandika>>’Now karibu 2015,karibu babaaa…..my new style’.


Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JOTI WA ORIJINO KOMEDI AMEKUJA NA STAILI MPYA YA MWAKA 2015 NI SHIIIIDAAAAAAA
JOTI WA ORIJINO KOMEDI AMEKUJA NA STAILI MPYA YA MWAKA 2015 NI SHIIIIDAAAAAAA
http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/jotiiii4.jpg?resize=511%2C383
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/joti-wa-orijino-komedi-amekuja-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/joti-wa-orijino-komedi-amekuja-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy