FIFA:Algeria ni timu bora Afrika>>> Angalia nafasi ya kwanza hadi kumi hapa
HomeMichezoKimataifa

FIFA:Algeria ni timu bora Afrika>>> Angalia nafasi ya kwanza hadi kumi hapa

Algeria imesalia katika nafasi ya kwanza katika orodha mpya ya timu bora barani Afrika Algeria i...

Presbyterians approve gay marriage in church constitution
Man charged in Phoenix-area shootings appears before judge
Ballotel atoa kali ya wiki, awaonya wale wote wanaomfuatilia akitaka wakae kimya>>>> Soma zaidi hapa
Algeria imesalia katika nafasi ya kwanza katika orodha mpya ya timu bora barani Afrika

Algeria imesalia timu bora barani Afrika katika orodha ya FIFA ya mwezi March licha ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha kombe la mataifa bingwa ya Afrika na Ivory Coast.
''The Desert Foxes'' walitupwa nje ya mashindano hayo na The Elephants ya Ivory Coast katika hatua ya robo fainali.
Hata hivyo ushindi huo wa ''The Elephants'' huko Equatorial Guinea, mabingwa hao waliwapiku kwenye orodha hiyo mpya iliyotolewa Alhamisi.
Algeria wameorodheshwa katika nafasi ya 18 duniani huku Ivory Coast ikiorodheshwa ya 20 duniani .
Black stars ya Ghana ni timu ya tatu kwa ubora barani lakini imeorodheshwa katika nafasi ya 24 duniani.
Tunisia ni ya nne barani Afrika lakini ya 25 duniani.




Senegal inafunga orodha ya tano bora barani Afrika.

Mabingwa wa kombe la mataifa ya Afrika Ivory Coast
Timu hiyo hata hivyo imeorodheshwa katika nafasi ya 36 duniani.
Kwa mara ya Kwanza wenyeji wa kombe la mataifa bingwa ya Afrika Equatorial Guinea wameondolewa katika nafasi kumi bora barani afrika licha ya kumaliza katika nafasi ya nne kwenye kipute hicho cha mwaka huu.

Orodha ya nafasi kumi bora barani Afrika.

1 (18). Algeria
2 (20). Ivory Coast                                        
3 (24). Ghana
4 (25). Tunisia
5 (36). Senegal
6 (38). Cape Verde
7 (41). Nigeria
8 (44). Guinea
9 (47). DR Congo
10 (49). Cameroon
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: FIFA:Algeria ni timu bora Afrika>>> Angalia nafasi ya kwanza hadi kumi hapa
FIFA:Algeria ni timu bora Afrika>>> Angalia nafasi ya kwanza hadi kumi hapa
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/19/150119150137_algeria_team_640x360_getty.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/fifaalgeria-ni-timu-bora-afrika-angalia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/fifaalgeria-ni-timu-bora-afrika-angalia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy