Harusi moja ilitibuka nchini India baada ya bwana harusi kufeli swali rahisi sana la hisibati aliloulizwa na bi harusi. ...
Harusi moja ilitibuka nchini India baada ya bwana harusi kufeli swali rahisi sana la hisibati aliloulizwa na bi harusi.
Harusi moja ilitibuka nchini India baada ya bwana harusi kufeli swali rahisi sana la hisibati aliloulizwa na bi harusi.
Kulingana na ripoti za walioshuhudia kihoja hicho cha aibu bi harusi anasemekana alimuuliza bwana harusi
''15 ukiongeza 6 utapata nini ''?
Polisi
katika jimbo la Uttar Pradesh nchini India wanasema kuwa sherehe za
harusi hiyo zilitibuka baada ya bi harusi kufoka mumewe mtarajiwa
alipotoa jibu lake . ''17 '' Mara nyingi maharusi hukutana kwa mara ya kwanza katika sherehe za harusi yao.
Alikurupuka na kuondoka jukwaani akiwa amenuna akisema hawezi kuoa mtu ambaye hakwenda shuleni.
Juhudi zote za jamaa na marafiki waliofika kushuhudia nikaa hiyo ziliambulia patupu.
Polisi
katika jimbo hilo la Uttar Pradesh wanasema kuwa jamaa wa bwana na bi
harusi wote walikubaliana kurejesheana zawadi zote walizokuwa wametoa
kwaajili ya wapendwa hao.
Asilimia kubwa ya ndoa zote nchini India
hupangwa na wazazi na mara nyingi maharusi hukutana kwa mara ya kwanza
katika sherehe za harusi yao. Bwana harusi alifeli swali la hisibati
Babake bi harusi Mohar Singh
aliyekuwa amepanga harusi hiyo katika kijiji cha Rasoolabad aliiambia
idhaa ya kihindi ya BBC kuwa mwanawe alishangaa kuwa mumewe mtarajiwa
Ram Baran hakuwa msomi.
Mwezi uliopita bi harusi mwengine aliolewa
na mgeni katika harusi yake baada ya Mumewe aliyekuwa amepanga kumuoa
kuanguka kifaa dakika chache tu kabla ya wawili hao kuunganishwa kuwa
mume na mke
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS