Viongozi wa CCM Pwani waibuka na malalamiko baada ya mgombea kushindwa
HomeHabariTop Stories

Viongozi wa CCM Pwani waibuka na malalamiko baada ya mgombea kushindwa

Siku chache baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji hapa nchini, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 24, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 24, 2024
Mwanamke afariki baada ya kuchomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi

Siku chache baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji hapa nchini, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Mtambani kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamewataka wanachama kutulia wakati viongozi hao wanafanya tathimini ya nini kifanyike, kufuatia aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti kitongoji cha Mtambani kushindwa uchaguzi huo.

Wakiongea kwa nyakati tofauti katika mkutano wa tathimini ya uchaguzi wa serikali za mitaa,vijiji na vitongoji kata ya mapinga bagamoyo mkoani pwani baadhi ya viongozi hao wamesema wapo watu waliohusika kuhujumu chama na kukionesha kuwa kimeshindwa kwa muongozo pamoja na katiba kama watapatikana basi watachukuliwa hatua.

Aidha viongozi hao wamedai kuwa kwa matokeo yaliyotangazwa kuwa si halali katika tawi la Mtambani kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani,na hii ni baada ya chama pinzani CHADEMA kujitangazia ushindi wa kiongozi wao.

Viongozi hao pia wamedai kutaka kukata rufaa ya kupinga matokeo hayo na kutaka uchunguzi ufanyike kwa kina kwani wapo na vithibitisho vyote vya idadi ya kura alizopata mgombea wao ambaye kwa sasa inadaiwa kuwa hajachaguliwa.

  

 

The post Viongozi wa CCM Pwani waibuka na malalamiko baada ya mgombea kushindwa first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/zJ9cLxH
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Viongozi wa CCM Pwani waibuka na malalamiko baada ya mgombea kushindwa
Viongozi wa CCM Pwani waibuka na malalamiko baada ya mgombea kushindwa
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/15e554af-baf6-40f1-a764-7cfb33a00e8c-950x534.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/viongozi-wa-ccm-pwani-waibuka-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/viongozi-wa-ccm-pwani-waibuka-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy