MO AKUTANA NA MASTAA SIMBA, KISA YANGA
HomeMichezo

MO AKUTANA NA MASTAA SIMBA, KISA YANGA

  M WENYEKITI  wa Bodi ya  Wakurugenzi ya  Simba, Mohamed  Dewji ‘Mo’, mapema Jumatano  aliwaandalia chakula cha  mchana wachezaji na  vi...

 


MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, mapema Jumatano aliwaandalia chakula cha mchana wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi la timu hiyo, ikiwa ni muda mfupi kabla ya kuelekea Kigoma kucheza dhidi ya Yanga.


Mo Dewji alikutana 
na mastaa wa Simba na kuzungumza nao mambo mbalimbali ikiwemo mikakati ya kuelekea mchezo huo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.


Tukio hilo lilifanyika katika kambi ya timu hiyo iliyopo Kunduchi, Dar es Salaam.

 

Pia Mo Dewji alitumia fursa hiyo kuwapongeza mastaa wa timu hiyo na viongozi wa benchi la ufundi baada ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21.

 

Chanzo cha uhakika kutoka katika kambi hiyo, kimeliambia Spoti Xtra kwamba, Jumatano Sikukuu ya Idd, viongozi wa benchi la ufundi na wachezaji wa Simba walipata mualiko huo kutoka kwa bosi wao huyo.

"Mo ameandaa sherehe ya kuwapongeza wachezaji na benchi la ufundi kwa kitendo cha kutwaa ubingwa wa ligi, pia kuna mikakati inawekwa kwa ajili ya kwenda kufanya vizuri dhidi ya Yanga katika mchezo wa fainali ili tutetee tena kombe lingine msimu huu,” kilisema chanzo hicho.

 

Mkuu wa Maudhui wa Simba, Ally Shatry ‘Chico’, ameliambia Spoti Xtra kwamba, baada ya maandalizi ya takribani siku mbili, kikosi cha timu hiyo  Alhamisi jioni kilielekea Kigoma tayari kuikabili Yanga.

 

“Kuhusu  maandalizi yote kwa ajili ya mchezo yamefanyika,” alisema Chico.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MO AKUTANA NA MASTAA SIMBA, KISA YANGA
MO AKUTANA NA MASTAA SIMBA, KISA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfoXgHoS2uOIcNGRR1V0is-e5hwlnVX-QVrT-2xDj7FlsLK3xNKR1K903edA-K66W-EliwlbmA3N15G6y6Gh1Ri6NbighdL2x6Dhi6kAVeBc6HUMHrOFKZbNmrrYysFtTSBYStuXzQvobt/w640-h612/moodewji-219093433_508362066908565_5256431240345719802_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfoXgHoS2uOIcNGRR1V0is-e5hwlnVX-QVrT-2xDj7FlsLK3xNKR1K903edA-K66W-EliwlbmA3N15G6y6Gh1Ri6NbighdL2x6Dhi6kAVeBc6HUMHrOFKZbNmrrYysFtTSBYStuXzQvobt/s72-w640-c-h612/moodewji-219093433_508362066908565_5256431240345719802_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mo-akutana-na-mastaa-simba-kisa-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mo-akutana-na-mastaa-simba-kisa-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy