Msimamizi Uchaguzi Kasulu ametoa maelezo Uchaguzi kuzingatia 4R za Rais Samia
HomeHabariTop Stories

Msimamizi Uchaguzi Kasulu ametoa maelezo Uchaguzi kuzingatia 4R za Rais Samia

Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu , Dkt . Semistatus H. Mas himba ametoa maelekezo y a Uchaguzi wa Se...

Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri yaWilaya ya Kasulu, Dkt. Semistatus H. Mashimba ametoa maelekezo ya Uchaguzi waSerikali za Mitaa wilayani humo kwa kutumiamfumo unaoakisi 4R za Mhe. Rais Dkt. SamiaSuluhu Hassan kwa kushirikisha makunditofauti katika jamii.

Tukio hilo limefanyika leo  Alhamisi Septemba26, 2024   katika Ofisi za Makao Makuu yaHalmashauri hiyo eneo la Nyamnyusi nakuhusisha viongozi wa vyama vyasiasa,viongozi wa dini,wazee maarufu,vyamavya wafugaji na wakulima,watendaji wa vijiji nakata pamoja na waandishi wa habari.

Akizungumza katika tukio hilo Dkt. Mashimbaamesema kuwa ni takwa la kisheria lililomtakakufanya hivyo  ili wananchi wapate maelezosiku 62 kabla ya tarehe ya uchaguzi kwa lengola kuhakikisha taratibu zote zinafuatwa kwawapiga kura pamoja na wagombea kupatataarifa zote kwa wakati.

kampeni zitaanza tarehe 20 hadi 26 Novemba2024 na uchaguzi utakuwa Novemba 27 mwakahuu kwahiyo tuwaombe vyama vyasiasa,viongozi wa dini na wadau wote mliopohapa tunaomba kipindi hiki kiwe na utulivu naamani kubwa tofauti na mazingira mengine,” amesema.

Naye Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kasulu, Abdallah Kazikwa   ametoawito kwa wananchi kujitokeza kwa wingikujiandikisha katika Daftari la Mkazi ambalo nitofauti na zoezi lililopita la uandikishwaji katikaDaftari la Kudumu la Mpiga Kura ili wawezekuitumia haki yao ya msingi ya kuchaguaviongozi wanaowafaa.

Kwa upande wao viongozi wa vyama rafikiWilaya ya Kasulu wameipongeza Kamati yaUchaguzi kwa kuwashirikisha katika tukio hilomuhimu huku wakibainisha  kuwa na imaninayo pamojana kutoa ahadi    kuipa ushirikianopale  uatakapohitajika.

Katika hatua nyingine Katibu wa Baraza la Machifu Mkoa wa Kigoma,Abel Bussa ametoarai kwa kila mwananchi mwenye sifa kujitokezakugombea pamoja na kutoa ahadi ya kwendakufundisha aliyojifunza leo kwa wengine juu yaumuhimu wa kupiga kura.

 

The post Msimamizi Uchaguzi Kasulu ametoa maelezo Uchaguzi kuzingatia 4R za Rais Samia first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/bRoOCP9
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Msimamizi Uchaguzi Kasulu ametoa maelezo Uchaguzi kuzingatia 4R za Rais Samia
Msimamizi Uchaguzi Kasulu ametoa maelezo Uchaguzi kuzingatia 4R za Rais Samia
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/468e4608-2a74-418d-a748-cc174e6914c3-950x633.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/msimamizi-uchaguzi-kasulu-ametoa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/msimamizi-uchaguzi-kasulu-ametoa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy