Benki ya CRDB yawezesha utengenezwaji wa mfumo wa kutunza taarifa za Diaspora kwa udhamini wa Milioni 100
HomeHabari

Benki ya CRDB yawezesha utengenezwaji wa mfumo wa kutunza taarifa za Diaspora kwa udhamini wa Milioni 100

Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetiliana saini hati ya makubaliano kutengeneza mfumo wa kuw...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2024
Mwenyekiti UWT akemea vikali vitendo vya ulawiti na ubakaji kwa watoto
TBS yafungua mashindano ya tuzo za ubora 2024/2025


Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetiliana saini hati ya makubaliano kutengeneza mfumo wa kuwatambua watanzania wanaoishi nje ya nchi, utakaofahamika kama 'Diaspora Digital Hub', ambao utagharimu jumla ya shilingi milioni 100 zitakazotolewa na Benki ya CRDB, utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora.

OTMI4143Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela kwa pamoja na Katibu Mkuu Wizara la Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine, wakitiliana saini hati ya makubaliano baina ya Benki ya CRDB na Wizara kwa ajili ya utengenezaji wa mfumo wa kidigitali kwa Wantazania waishio nje ya nchi (Diaspora), utakaowawezesha kupata huduma mbalimbali wanazohitaji kutoka nyumbani Tanzania wakiwa hukohuko ughaibuni. Mfumo huo utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora. Hafla hiyo imefanyila leo kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni wanasheria wa pande zote mbili wakishuhudia.

OTMI4194
OTMI4208Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela kwa pamoja na Katibu Mkuu Wizara la Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine, wakibadilishana hati za makubaliano baina ya Benki ya CRDB na Wizara baada ya kuzisiani kwa ajili ya utengenezaji wa mfumo wa kidigitali jijini DSM ambapo jumla ya shilingi milioni 100 zimetolewa na benki hiyo kuwezesha mfumo huo kwa Wantazania waishio nje ya nchi (Diaspora), ambao utawawezesha kupata huduma mbalimbali wanazohitaji kutoka nyumbani Tanzania wakiwa hukohuko ughaibuni. Mfumo huo utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora. Hafla hiyo imefanyila leo kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es salaam.
OTMI4202

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela kwa pamoja na Katibu Mkuu Wizara la Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine, wakibadilishana hati za makubaliano baina ya Benki ya CRDB na Wizara baada ya kuzisiani kwa ajili ya utengenezaji wa mfumo wa kidigitali jijini DSM ambapo jumla ya shilingi milioni 100 zimetolewa na benki hiyo kuwezesha mfumo huo kwa Wantazania waishio nje ya nchi (Diaspora), ambao utawawezesha kupata huduma mbalimbali wanazohitaji kutoka nyumbani Tanzania wakiwa hukohuko ughaibuni. Mfumo huo utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora. Hafla hiyo imefanyila leo kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa na kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Diaspora cha Wizara Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi James Bwana,

OTMI4104

Katibu Mkuu Wizara la Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akizungumza katika hafla fupi ya kusaini makubaliano baina ya Benki ya CRDB na Wizara kwa ajili ya utengenezaji wa mfumo wa kidigitali, ambao utawawezesha watanzania waishio nje ya nchi kupata huduma mbalimbali wanazohitaji kutoka nyumbani Tanzania wakiwa hukohuko ughaibuni. Mfumo huo ambao utagharimu jumla ya shilingi milioni 100 zitakazotolewa na Benki ya CRDB, utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora. Hafla hiyo imefanyila mwishoni mwa wiki kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es salaam.

OTMI4218

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza katika hafla fupi ya kusaini makubaliano baina ya Benki ya CRDB na Wizara kwa ajili ya utengenezaji wa mfumo wa kidigitali, ambao utawawezesha watanzania waishio nje ya nchi (Diaspora), kupata huduma mbalimbali wanazohitaji kutoka nyumbani Tanzania wakiwa hukohuko ughaibuni. Mfumo huo ambao utagharimu jumla ya shilingi milioni 100 zitakazotolewa na Benki ya CRDB, utajumuisha watoa huduma wa Serikali kama; NIDA, UHAMIAJI & TIC pamoja na watoa huduma wengine ambao huduma zao zinawalenga Diaspora. Hafla hiyo imefanyila leo kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es salaam.

OTMI4048
OTMI4003
OTMI4257
OTMI4251
OTMI4242


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Benki ya CRDB yawezesha utengenezwaji wa mfumo wa kutunza taarifa za Diaspora kwa udhamini wa Milioni 100
Benki ya CRDB yawezesha utengenezwaji wa mfumo wa kutunza taarifa za Diaspora kwa udhamini wa Milioni 100
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQatigl5yiGF-ZM9PCccjaviLTRLnzF-Uyi_Fcifgg9pObwE5W2hKvjOzqgfXCFhx7vkK_C29uSEyiZf0tBxTr7WXZP5azaJvsht8z4ICIgh6Z2zm4SBO4tTxb3pjZi-PA1gULoBedlQzxoON1Ii5E8Jb9EuOy3xhK2A-gCg2j5ngG6eQJONauwhCWTA/s16000/OTMI4143.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQatigl5yiGF-ZM9PCccjaviLTRLnzF-Uyi_Fcifgg9pObwE5W2hKvjOzqgfXCFhx7vkK_C29uSEyiZf0tBxTr7WXZP5azaJvsht8z4ICIgh6Z2zm4SBO4tTxb3pjZi-PA1gULoBedlQzxoON1Ii5E8Jb9EuOy3xhK2A-gCg2j5ngG6eQJONauwhCWTA/s72-c/OTMI4143.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/benki-ya-crdb-yawezesha-utengenezwaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/benki-ya-crdb-yawezesha-utengenezwaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy