Mapokezi ya Hapi Kibiti babu kubwaaa..
HomeHabariTop Stories

Mapokezi ya Hapi Kibiti babu kubwaaa..

Mwenye macho haambiwi tazama! haya ni zaidi ya mahaba na mapenzi kwa chama cha mapinduzi kupitia Jumuiya ya wazazi yanayoineshwa na wanaccm ...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo August 12, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2024
Vijana elfu 45 kujikomboa kiuchumi KUPITIA ujasiriamali 

Mwenye macho haambiwi tazama! haya ni zaidi ya mahaba na mapenzi kwa chama cha mapinduzi kupitia Jumuiya ya wazazi yanayoineshwa na wanaccm wa Wilaya ya Kibiti mkoani pwani wakimpokea Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ndg. Ally Hapi baada ya kuwasili wilayani humo kwa ziara akiambatana na viongozi mbalimbali yenye lengo la kukijenga chama na kueleza kazi zinazofanywa na serikali uwaletea wananchi maendeleo.

Hapi pamoja na viongozi wa jumuiya hiyo taifa wamepokelewa na mamia ya wananchi wa wilaya ya kibiti ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kazi za chama na serikali.

Amewambia kazi kubwa waliyonayo ni kuhakikisha chama cha mapinduzi kinashika dola katika chaguzi zijazo kwa kuwachagua viongozi wanaotokana na chama hicho.

“Asanteni sana kwa mapokezi makubwa mliyotupa hii Inaonesha namna mnavyokiunga mkono chama cha mapinduzi na mwenyekiti wetu wa CCM Taifa Dkt.Samia Suluhu Hassan,ninachotaka kuwambia ni kwamba serikali yenu imedhamiria kuwaletea maendeleo na kugusa maisha yenu imeendelea kutekeleza miradi ya maendeleo bila kujali ni eneo gani hivyo tuendelee kushikamana kwa maendeleo yetu”alisema Hapi

The post Mapokezi ya Hapi Kibiti babu kubwaaa.. first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/Xz1mxb2
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mapokezi ya Hapi Kibiti babu kubwaaa..
Mapokezi ya Hapi Kibiti babu kubwaaa..
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/IMG-20240922-WA0013-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/mapokezi-ya-hapi-kibiti-babu-kubwaaa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/mapokezi-ya-hapi-kibiti-babu-kubwaaa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy