Serikali kuweka mazingira bora kwa Wafanyabiashara
HomeHabariTop Stories

Serikali kuweka mazingira bora kwa Wafanyabiashara

Waziri wa viwanda na biashara Dr, Suleman Jafo amesema serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya ufanyaji biashara ikiwemo kuboresha miun...

PICHA :Rais Samia alipowasili Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata Mashariki
Hospitali ya rufaa Bombo Tanga kuwa na muonekano mpya
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 23, 2025

Waziri wa viwanda na biashara Dr, Suleman Jafo amesema serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya ufanyaji biashara ikiwemo kuboresha miundombinu, usafiri na tehama kwa lengo la kurahisisha biashara na kupunguza gharama za uzalishaji wa huduma bora ili kukuza soko la ndani pamoja na nje ya nchi kama vile marekani.

Dr, Jafo ameyasema hayo leo wakati akifungua maonyesho ya maendeleo ya miradi ya biashara na uwekezaji Afrika chini ya Shirika la misaada la Marekani USAID, ambapo maonesho yalifanyika jijini Dar es Salaam.

” Serikali imepanga kuweka nguvu katika uwekezaji kwenye masoko na
kuboresha miundombinu kwa lengo la kurahisisha biashara pamoja na kupunguza gharama kwa wafanyabiashara na makampuni ya ndani na kuwavutia wale wenye makampuni kutoka nje ya nchini ” Amesema Jafo.

Hata hivyo Dr, Jafo amesema “Kuna haja ya kuendelea kukuza, kuimarisha uwezo wa uzalishaji na usambazaji ili kukidhi mahitaji ya masoko na kupanua mauzo ya nje kwa kutumia zaidi sekta ya jadi ili kujumuisha bidhaa zilizoongezwa thamani na za viwango vya juu”

Naye Meneja Rasilimali watu kutoka Shirika la misaada la Marekani USAID amesema ” USAID tumepanga kufanya mageuzi makubwa kwenye sekta ya viwanda na biashara Afrika lakini tunaanza na Tanzania kwani kuna mazingira mazuri na tunaona wanaendelea kuweka vizuri pia, tuna miradi mbalimbali ambayo itawasaida wafanyabiashara wadogo na wakubwa kuwekeza na kufikia malengo yao bila ya changamoto”.

The post Serikali kuweka mazingira bora kwa Wafanyabiashara first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/tMIHhsj
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Serikali kuweka mazingira bora kwa Wafanyabiashara
Serikali kuweka mazingira bora kwa Wafanyabiashara
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/08/310fa329-b9e3-4807-b888-156a99be2ba8-950x534.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/serikali-kuweka-mazingira-bora-kwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/serikali-kuweka-mazingira-bora-kwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy