Uongozi wa shule ya Bishop makaya iliyopo wilaya ya Kasulu mji unapenda kuwatangazia wanafunzi/ walezi nafasi za masomo za kuhamia kida...
Uongozi wa shule ya Bishop makaya iliyopo wilaya ya Kasulu mji unapenda kuwatangazia wanafunzi/ walezi nafasi za masomo za kuhamia kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2020
Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
Shule inamilikiwa na kanisa la anglikana dayosisi ya Western Tanganyika
Shule ina kidato cha kwanza na pili tu . Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne kwa mwaka ; yaani karo 800000,michango ya shule 150000;
- Januari 200000
- Aprili 200000
- June20000
- Sept200000
Shule ina mazingira mazuri sana kwa kujifunzia na inapokea wanafunzi wa imani zote na shule ni bweni kwa wavulana na wasichana .
Tunapatikana kasulu Mji barabara ya Kabanga .
Fomu zinapatikana shuleni au piga 0752721364,0763783919
Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
COMMENTS