HomeHabariTop Stories

Usitishaji vita wa Gaza lazima uhusishe uondokaji kamili wa Israel – Hamas

Kundi la muqawama wa Palestina Hamas limesema makubaliano yoyote ya kusitisha mapigano Gaza lazima yahusishe kuondolewa kabisa kwa wanajeshi...

Kamati ya bajeti ya baraza la wawakilishi ZNZ yapongeza miradi ya ujenzi ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka daraja la juu
Picha: Rais Samia ahudhuria uzinduzi wa Utalii wa Kasa Kizimkazi, Visiwani Zanzibar
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 24, 2024

Kundi la muqawama wa Palestina Hamas limesema makubaliano yoyote ya kusitisha mapigano Gaza lazima yahusishe kuondolewa kabisa kwa wanajeshi wavamizi wa Israel katika ardhi ya Palestina.

“Makubaliano yoyote lazima yafikie usitishaji vita wa kina, kujiondoa kabisa (Waisraeli) kutoka Gaza, (na) kurejea kwa waliokimbia makazi yao,” afisa wa Hamas Hossam Badran alisema katika taarifa yake baada ya mazungumzo ya kusitisha mapigano kuanza tena huko Doha.

Marekani, Qatar na Misri zilikutana na wajumbe wa Israel nchini Qatar huku idadi ya vifo vya Wapalestina kutokana na vita vya miezi 10 vya Israel ikizidi 40,000.

The post Usitishaji vita wa Gaza lazima uhusishe uondokaji kamili wa Israel – Hamas first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/IcWqhRy
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Usitishaji vita wa Gaza lazima uhusishe uondokaji kamili wa Israel – Hamas
Usitishaji vita wa Gaza lazima uhusishe uondokaji kamili wa Israel – Hamas
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/usitishaji-vita-wa-gaza-lazima-uhusishe.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/usitishaji-vita-wa-gaza-lazima-uhusishe.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy