Rais Samia Aitaka Wizara Ya Elimu Na Mafunzo Ya Amali Kufanya Mabadiliko Katika Sekta Ya Elimu
HomeHabari

Rais Samia Aitaka Wizara Ya Elimu Na Mafunzo Ya Amali Kufanya Mabadiliko Katika Sekta Ya Elimu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kufanya mabadiliko ...

Taarifa kwa Umma kuhusu maendeleo ya Chanjo ya Corona nchini.
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Agosti 8
Mo Dewji Amchenjia Chama Kisa Haji Manara


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kufanya mabadiliko katika mitaala ya elimu (syllabus).

Rais Samia ametoa wito huo jana wakati akizindua Taasisi ya Wanawake Initiatives Foundation (MIF) na kueleza kuwa Zanzibar inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya Elimu.

Aidha, Rais Samia ametaka pia kuwepo na umakini katika sifa za walimu wanaoajiriwa, utungaji wa mitihani pamoja na uwezeshwaji wa vitendea kazi kwa wakaguzi.

Rais Samia amesema licha ya ufaulu kupanda kiasi kwa mwaka 2021 na kupungua kwa idadi ya waliopata sifuri, bado iko haja kwa Wizara hiyo pamoja na wadau kutafuta ufumbuzi wa kutatua changamoto zilizopo.

Rais Samia pia amewataka wazazi, walezi na jamii kubeba jukumu la kuhakikisha watoto wanahudhuria masomo ipasavyo na kuhakikisha kuwa wanapata muda wa kujisomea.

Kwa upande mwingine, Rais Samia ameishukuru taasisi ya MIF kwa mchango na jitihada inazofanya katika kuinua kiwango cha elimu kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Rais Samia ametoa wito kwa Taasisi zingine zisizo za Serikali kuiga mfano wa MIF na kujitolea katika masuala ya kijamii hasa kwenye sekta ya elimu na malezi kwa watoto.

ZuhuraYunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia Aitaka Wizara Ya Elimu Na Mafunzo Ya Amali Kufanya Mabadiliko Katika Sekta Ya Elimu
Rais Samia Aitaka Wizara Ya Elimu Na Mafunzo Ya Amali Kufanya Mabadiliko Katika Sekta Ya Elimu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj3bgiXHCa9Zu7Z1TycbAtpSRSpPCb8hcE_CTt3QkvavSEQUXTh9RFbuF1Jfc240fbz-I1XrxACtxV7DL_DubTir-PwUlCeprtxJYsN7c2pxfELuYITRWMkNZJ_1WrE2SdoCqoFsI4G2QOEPOLaVQMz8Uq3hS54IWQ5elQPkuwUHI_qTBafJLt-JKR_LA/s16000/17.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj3bgiXHCa9Zu7Z1TycbAtpSRSpPCb8hcE_CTt3QkvavSEQUXTh9RFbuF1Jfc240fbz-I1XrxACtxV7DL_DubTir-PwUlCeprtxJYsN7c2pxfELuYITRWMkNZJ_1WrE2SdoCqoFsI4G2QOEPOLaVQMz8Uq3hS54IWQ5elQPkuwUHI_qTBafJLt-JKR_LA/s72-c/17.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/rais-samia-aitaka-wizara-ya-elimu-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/rais-samia-aitaka-wizara-ya-elimu-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy