Waziri Mulamula Afanya Mazungumzo Na Naibu Wa Usalama Wa Taifa Wa India
HomeHabari

Waziri Mulamula Afanya Mazungumzo Na Naibu Wa Usalama Wa Taifa Wa India

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula amefanya mazungumzo na Naibu Mshauri wa Usalama w...

Tanzania irelanf kuimarisha ushirikiano
Rais Wa TCCIA Nchini Afanya Ziara Ya Kikazi Oman
Serengeti Music Festival Sasa Siku Mbili- Dkt. Abbas


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula amefanya mazungumzo na Naibu Mshauri wa Usalama wa Taifa wa India Mhe. Vikram Misri jijini Dar es Salaam.

Mazungumzo yao yalijikita kujalidi masuala mbalimbali kuhusu ulinzi na usalama katika ngazi ya Kitaifa, Kanda na Kimataifa kama vile changamato za wahamiaji haramu, ushafirishaji haramu wa binadamu, ugaidi na uharamia.

Waziri Mulamula amemweleza Mhe. Misri kuwa hali ya usalama ndani ya nchi na kwenye mipaka ya nchi yetu ni salama na tumekuwa tukiendelea kushirikiana  vizuri na nchi jirani zinazotuzunguka na Jumuiya za kikanda katika kutatua changamoto mbalimbali kama vile usafirishaji haramu wa binadamu, uharamia na masuala ya ugaidi.

Naibu Mshauri wa Usalama wa Taifa wa India Mheshimiwa Balozi Vikram kwa upande wake ameeleza kuridhishwa kwake na namna Serikali ya Tanzania inavyoshiriki kutatua na kukabiliana na changamoto za ulinzi na usalama katika ngazi ya Taifa, Kikanda na Kimataifa. Vilevile aliongeza kusema kuwa Serikali ya India itaendelea kushirikiana na Tanzania katika eneo la ulinzi na usalama.

Naibu Mshauri wa Usalama wa Taifa wa India H.E Amb. Vikram Misri  yupo nchini kwa ziara ya kikazi ambapo anatarajia kuonana na  viongozi mbalimbali wa Serikali.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Mulamula Afanya Mazungumzo Na Naibu Wa Usalama Wa Taifa Wa India
Waziri Mulamula Afanya Mazungumzo Na Naibu Wa Usalama Wa Taifa Wa India
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizw-NwU6awLg7ddG6k1OUcB7rev5yLz0x0OvfleN-OX8mj4Bu6r5GJzsjIBr9hP4_sKNnTW-qwsqSZp5pCeBFOSLZrgX9IKnBkDYYRK1nr4GOkrc2zb4ox-qx7JdhNuzLz4R8BW1dpLACj0zOr60cjs87CLFqq-ovL7WHllAYa8dVYAk7dwOD489YDbQ/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizw-NwU6awLg7ddG6k1OUcB7rev5yLz0x0OvfleN-OX8mj4Bu6r5GJzsjIBr9hP4_sKNnTW-qwsqSZp5pCeBFOSLZrgX9IKnBkDYYRK1nr4GOkrc2zb4ox-qx7JdhNuzLz4R8BW1dpLACj0zOr60cjs87CLFqq-ovL7WHllAYa8dVYAk7dwOD489YDbQ/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/waziri-mulamula-afanya-mazungumzo-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/waziri-mulamula-afanya-mazungumzo-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy