NAHODHA wa Azam FC Agrey Morris amesema kuwa walipoteza mchezo wao kwa makosa lakini faulo ilifanyiwa nje mwisho wa siku mtu akanzia ndani y...
NAHODHA wa Azam FC Agrey Morris amesema kuwa walipoteza mchezo wao kwa makosa lakini faulo ilifanyiwa nje mwisho wa siku mtu akanzia ndani ya box na likaruhusiwa kuwa goli. Jana Juni 26 ubao wa Uwanja wa Majimaji ulisoma Azam FC 0-1 Simba katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS