Brela Yakusudia Kufuta Makampuni 5,676 Kwa Kushindwa Kukidhi Vigezo
HomeHabari

Brela Yakusudia Kufuta Makampuni 5,676 Kwa Kushindwa Kukidhi Vigezo

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) imetangaza kusudio la kufuta kampuni 5,676 kama awamu ya kwanza ambazo wanahisi hazifanyi...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo July 24, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 24, 2024
Novatus aondoka Shakhtar ajiunga Goztepe


Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) imetangaza kusudio la kufuta kampuni 5,676 kama awamu ya kwanza ambazo wanahisi hazifanyi biashara kwa kutimiza matakwa ya kisheria.

Kufanya hivyo kutasaidia daftari la kampuni kuwa na taarifa sahihi na kupunguza changamoto ya upatikanaji wa majina ya kampuni.

Akizungumza na wanahabari  Mei 27 jijini hapa, Afisa Mtendaji Mkuu wa Brela, Godfrey Nyaisa amesema baadhi ya watu wamekuwa wakisajili na kushikilia majina na baadaye kuuziana.

"Tumegundua kuna hiyo tabia, watu wanauziana majina, mtu anashikilia mtu akilihitaji wanakubaluana ndiyo maana tumekuja na hili suala la kufuta ili watu waweze kuomba hayo majina," amesema.

Amesema Brela haitunzi makampuni mfu na badala yake yale yanayofanya kazi na watagundua hilo kwa kampuni husika kuwasilisha taarifa zake kila mwaka.

Amesema sababu zinazofanya kampuni kuonekana zimeshindwa kufanya kazi ni kutowasilisha taarifa za mahesabu ya mwaka kwa msajili, kukosa mtaji wa biashara, kuelemewa migogoro ya wamiliki kushindwa kutimiza malengo yaliyokusudiwa kuona hakuna namna ya kuendelea nayo kutokuwa na uelewa wa wakiliki na wakurugenzi.

Amesema kampuni hizo zitatangazwa katika magazeti na vyombo mbalimbali vya habari ili wamiliki waweze kujua kusudio hilo huku nakala ya barua itapelekwa katika anuani halisi za kampuni hizo

"Notisi hizi zitatolewa kwa awamu tatu, awamu mbili za kwanza zitakuwa siku 30 kila moja na ya tatu itakuwa siku 90 ili kutoa nafasi kwa wamiliki kuthibitisha kama kampuni zao zinafanya biashara," amesema.

Amesema notisi ya kwanza na pili itahusisha kampuni 5,284 zilizosajiliwa nchini na kampuni 392 zilizosajiliwa nje ya nchi.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Brela Yakusudia Kufuta Makampuni 5,676 Kwa Kushindwa Kukidhi Vigezo
Brela Yakusudia Kufuta Makampuni 5,676 Kwa Kushindwa Kukidhi Vigezo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpZf8eUgiWm-EdtaFXJSPI0xmBOt_L6iunDhv18lHmerXeEvUdFtYSEZUyW0AEq-pcz5JCvWYR0ivf6sx299L2iPVzT2aIK8bd1dTNt9-UelpYs4Q2YhVVNpdNDDLU35TlbaPW6xqxK1wxe4mJsff5ITzf1ltfsZQjvjfqxh1vWiPD3OMfduuG0RRpkw/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpZf8eUgiWm-EdtaFXJSPI0xmBOt_L6iunDhv18lHmerXeEvUdFtYSEZUyW0AEq-pcz5JCvWYR0ivf6sx299L2iPVzT2aIK8bd1dTNt9-UelpYs4Q2YhVVNpdNDDLU35TlbaPW6xqxK1wxe4mJsff5ITzf1ltfsZQjvjfqxh1vWiPD3OMfduuG0RRpkw/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/brela-yakusudia-kufuta-makampuni-5676.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/brela-yakusudia-kufuta-makampuni-5676.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy