Dkt.Mpango: Serikali Inaendelea Kushughulikia Changamoto Za Wazee Hasa Kwenye Sekta Ya Afya
HomeHabari

Dkt.Mpango: Serikali Inaendelea Kushughulikia Changamoto Za Wazee Hasa Kwenye Sekta Ya Afya

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema serikali ya awamu ya sita inaendelea kushughulikia changamoto...

Kesi ya Mbowe Yaahirishwa, Shahidi Augua
Mwanasheria wa Tigo atoa ushahidi kesi ya Freeman Mbowe na Wenzake
Waziri Ndaki Ataka Uchumi Wa Bluu Mikononi Mwa Wananchi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema serikali ya awamu ya sita inaendelea kushughulikia changamoto za wazee hasa katika sekta ya afya pamoja na ulipaji wa mafao kwa wazee hapa nchini.

Makamu wa Rais amesema hayo alipozungumza na wazee pamoja na viongozi wa dini wa Mkoa wa Kagera ambapo amewahakikishia kuimarishwa kwa madawati ya wazee pamoja na serikali kuanza mchakato wa bima za afya zitakazoondoa changamoto za upatikanaji wa huduma za afya kwa wazee zilizopo hivi sasa.

Makamu wa Rais amewaasa wazee hao pamoja na viongozi wa dini kuendelea kudumisha amani iliopo hapa nchini ikiwa pamoja na kutatua kwa amani migogoro iliopo katika jamii. 

Amesema wazee wanapswa kuendeleza mila na desturi za nchi hii ili kukabiliana na mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana. Aidha amewaomba viongozi wa dini kuendelea kuliombea taifa pamoja na viongozi wake ili waweze kupata hekima ya Mungu katika kuwatumikia wananchi.

Kwa upande wao wazee wa mkoa wa Kagera wamemueleza Makamu wa Rais changamoto zinazoukabili mkoa huo ikiwemo kukosekana kwa maadili kwa baadhi ya watendaji wanaosimamia sekta uvuvi hivyo kufanya sekta hiyo kurudi nyuma. Aidha wamesema umefika wakati wa mkoa wa Kagera kupata chuo cha ufundi kitakachosaidia kuinua uchumi wa mkoa huo unaoonekana kukwama kwa muda mrefu.

Halikadhalika wazee hao wamemuiomba serikali kuwaandaa wananchi wa mkoa wa Kagera katika kutumia fursa za kiuchumi ikiwemo ya mradi mkubwa wa Kabanga Nikel utakaotekelezwa katika mkoa huo. Wamsema serikali inapaswa kuusaidia mkoa huo katika kuinua kilimo kutokana na shughuli hiyo muhimu ya kiuchumi kufanyika chini ya kiwango kwa muda mrefu.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Dkt.Mpango: Serikali Inaendelea Kushughulikia Changamoto Za Wazee Hasa Kwenye Sekta Ya Afya
Dkt.Mpango: Serikali Inaendelea Kushughulikia Changamoto Za Wazee Hasa Kwenye Sekta Ya Afya
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaCF_RT5IbwWmymagWuZzO98BhfwWeaxERjQDXbco1Ifm0I7ohNSAz5OoxHOL6sTkqCT_3ZpBd4f7oPxk51w3IEinjCP31fXO4xjHP_2TUVVBBSy7zOts1PzHLHmRJYNENbtxyR0RONyLEZV4lsmPMTeEcvjiL416zXYUsiyd-8mzqLQS6nAhvInHzZg/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaCF_RT5IbwWmymagWuZzO98BhfwWeaxERjQDXbco1Ifm0I7ohNSAz5OoxHOL6sTkqCT_3ZpBd4f7oPxk51w3IEinjCP31fXO4xjHP_2TUVVBBSy7zOts1PzHLHmRJYNENbtxyR0RONyLEZV4lsmPMTeEcvjiL416zXYUsiyd-8mzqLQS6nAhvInHzZg/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/dktmpango-serikali-inaendelea.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/dktmpango-serikali-inaendelea.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy