Makamba: 2025 Urais ni Samia Suluhu Hassan
HomeHabari

Makamba: 2025 Urais ni Samia Suluhu Hassan

Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Yusuf Makamba amewaambia wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum wa Chama hicho kuwa Mgombea wa Urasi wa chama hic...

Mtendaji Mkuu Mahakama Atoa Wito Kwa Wananchi Kuandika Wosia
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo July 9
Kufunguliwa Kwa Dirisha La Udahili Kwa Waombaji Wa Shahada Ya Kwanza Katika Taasisi Za Elimu Ya Juu Kwa Mwaka Wa Masomo 2022/2023


Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Yusuf Makamba amewaambia wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum wa Chama hicho kuwa Mgombea wa Urasi wa chama hicho Mwaka 2025 ni Rais wa Sasa Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza katika Mkutano huo, Makamba amesema, Kwa namna kazi zinavyofanyika mpaka sasa hakuna mwingine wa kushika nafasi ya urais katika uchaguzi ujao zaidi ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Mzee Makamba ameeleza kuwa tayari watanzania wameanza kuonja Asali hivyo ni vyema asali hiyo ikaendelea kulambwa na watanzania na mwenye uwezo wa kuwalambisha watanzania asali hiyo ni Samia Suluhu Hassan pekee.

Makamba amewataka wale wote wanaotamani nafasi hiyo wakae kando na wampishe Rais Samia aendelee kujenga nchi kwa uongozi wake aliofananisha na ubatizo wa maji baridi


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Makamba: 2025 Urais ni Samia Suluhu Hassan
Makamba: 2025 Urais ni Samia Suluhu Hassan
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPdLVMTxECE1HAfqJiySM6h7-nj2xeii4AyQADHBU035VeHpPgGtVkJlvt8OR5JdWhxFmMjfW5r0oJbYZ6onh2z624D2STEjqTWrZos_KVi0LgietpFvfx7a7YN7E8PcJ_E7YfyZe6DWg2wU4Ia_eA1qj77D8Co3b-HVOh163LqJ7L6d2tlSxF0PyNzQ/s16000/1%5D.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPdLVMTxECE1HAfqJiySM6h7-nj2xeii4AyQADHBU035VeHpPgGtVkJlvt8OR5JdWhxFmMjfW5r0oJbYZ6onh2z624D2STEjqTWrZos_KVi0LgietpFvfx7a7YN7E8PcJ_E7YfyZe6DWg2wU4Ia_eA1qj77D8Co3b-HVOh163LqJ7L6d2tlSxF0PyNzQ/s72-c/1%5D.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/makamba-2025-urais-ni-samia-suluhu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/makamba-2025-urais-ni-samia-suluhu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy